Hufurahi niwe namfulia nguo zake za ndani. ananitisha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hufurahi niwe namfulia nguo zake za ndani. ananitisha!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ndibalema, Sep 24, 2012.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wadau wa humu habari za leo?

  Ni katika kubadilishana mawazo kuhusu haya mahusiano.

  Nimekuwa nikishangaa wife wangu hupenda sana niwe namsaidia kumfulia nguo zake za ndani aka chupi.

  Yupo radhi afue lundo la nguo lakini atanibembeleza nimfulie japo kufuli zake mbili tatu.

  Nikimfulia huwa anafurahi sana.

  Swali langu kwenu wadau(Kabla sijaamua kumuuliza yeye mwenyewe): Kwanini huwa anafurahi ninapomfulia hizo kufuli zake?

  Sometimes najiuliza au ndio step mojawapo ya kuelekea kufanywa mume b.w.e.g.e?

  NB: Picha hapo chini mfano tuu sio mimi jamani.

  [​IMG]
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahahaha eeeh bhana eeeh!!!
  Mmmmmmh haya labda kuna wadau wanafahamu......!!!
  Teh teh teh laahaaulaaaa......!!
   
 3. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  wala sio mume ***** bwana!ndo mahaba hayo,siku nyingine uwe unamnunulia hata pedi na kuiweka kweny chupi kabisa akitoka bafuni aikute kitandani aivae.so lovely i see!
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndivo kungwi wake alivomfundisha?
  kifuatacho atakuambia uanze kuzivaa sasa...
  tena zile bikini
  acha ubwege wewe
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ngoja wanaopenda hako kamchezo waje watufunulie kulioni. wengine hata kuvaa chu pi za waume zao ndio zao....
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mweh! haya bana.
   
 7. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  HA! HA! HA!! HAAAAAAAAAA! Limbwata!!!! Lilishakukolea hiloooo atiiiiii!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hahahaaa si mbaya lakini ilimradi ni mkeo yote kheri tu
   
 9. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  jamani kwani mnaposikia nyama katika nyama zangu na mwili katika mwili wangu mnaelewaje!kuna tatizo gani nikivaa teitei ya hubbie kama inanitosha !sema tu hili zigo ndo inabidi nisizivae vingnevyo ningekuwa nazivaa sana tu!
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,451
  Likes Received: 5,842
  Trophy Points: 280
  Napita tu (so they say)

  [​IMG]
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Smile ubwege unatoka wapi hapa mamiie,ni mume wake huyu ana haki ya kupata kile kinachofurahisha moyo wake,jamani hata hili nawe ni ubwege?ah acheni hizo!mwaya Ndibalema mfulie mkeo,muogeshe,muandalie nguo za kuvaa asubuhi.hakuna tatizo lolote as long as muda unao,sababu unazo,nia unayo na dhamira yako inafurahia,why not brother do it!mfurahishe mkeo!is it too much to ask?oh please.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Si jambo la ajabu sana kumfulia mwenza wako nguo za ndani maana ninavyojua mimi ni kuwa katika maisha kusaidiana kupo na kama mwenza wako anafurahia jambo hilo kuna tatizo gani?
  Wanaume wengi hufuliwa nguo zao za ndani na wenza wao mbona haileti shida na shida inakuja kuwa upande wa pili ukiomba jambo hilo?
  Mimi mama akiniambia nimfulie nafua tu maana hakuna ubaya wowote.
   
 13. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni mapenzi na kuonesha unajali kufanya hivo kwa mkeo brother wala sio ubwege...
   
 14. W

  Wimana JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Kama yeye yuko tayari kukufulia nguo zako lundo, wewe unaona shida gani au kuna ubaya gani kumfulia nguo zake za ndani? Mimi sioni ajabu wewe kumfanyia hivyo, anataka kuona jinsi unavyompenda hivyo nawe onyesha kuwa unampenda.
   
 15. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Just being romantic, I do the same but haniambii wala kunibembeleza kufanya hivyo. Nikizisafisha hua anafurahi na kunishangaa kwa furaha lakini. Yaweza kua mara 1 kwa mwezi na hua kama tunaoga pamoja.
   
 16. DSpecial

  DSpecial JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mh....kweli kwenye ndoa kuna mengi
   
 17. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Sio mbaya...fanya kile mpenzio anapenda
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Haya mambo yakutojua hata nini cha kufanya katika privacy zenu na kuomba ushauri duh! Sasa wakikuambia umerogwa na wewe utaamini.

  Not my level!
   
 19. S

  SWEET HUSBAND Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Looh,yani kwa sisi wanawake hata ukimsaidia mkeo kutoa kauchafu labda kwenye uso,au kichwani,ni bonge la burudani,yani unafeel soo happy,your extra cared!!sasa ije kuwa kufuliwa chupi,looh anasikia raha sana!!halafu pia hua inaongeza munkari ya kufanya mapenzi,siku akikufanyia kitu kizuri automatic siku hiyo mkiduu unapata feelings haraka sana,na utajituma kipita maelezo na lazima kilele mapemaaa!!!Hongera kwa hilo,wala huwezi kuwa mume *****,ndio unazidisha mapenzi kaka angu!!!keep it up!!!
   
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  bhaelezeee bhajue!
   
Loading...