Huenda Wabunge wengi wa CCM wakashindwa kurudi 2025 na upinzani ukalamba dume

Ahahahahaahahahaha! Kwa hoja nyepesi kama hizi zenu, be sure CCM is there 2025 and beyond. Ni hadi pale mtakapoacha kufikiri kama watoto wa kambo!
Kuacha kufikiri maana yake kutumia akili ya Hamza aliyelala makaburi ya Kisutu
 
Bila katiba mpya...bila tume huru ya uchaguzi...HATUSHIRIKI UCHAFUZI WA 2025...

OVA

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mbona nchi zingine wapinzani wamechukuwa nchi bila mabadiliko ya nchi? Kwanza imngekuwa vizuri upinzani kuchukuwa nchi badala ya kung'ang'ania kbadili katiba. Mpaka sasa hivi CCM ndiyo imeshikilia bunge na serkali. Msimamizi wa mabadiliko ya katiba ni serkali, tena serkali ya CCM. Mabadiliko ya katiba mwishowe hupitishwa na bunge na bunge la katiba. Sasa hiyo katiba wanayong'ang'ania CHADEMA unadhani itakuwa ndiyo katiba mmuitakayo. Rasmi ya Warioba ilikuja recommendation ya katiba nzuri sana (mtazamo wangu), lakini ndani ya hiyo rasmi kulikuwa na mambo ambayo chama tawala haikuyapenda, matokeo yake walijaribu kubadilisha kila kitu. Je, SSH akitaka katiba mpya, hiyo katiba mpya si itapitishwa na walewale? CHADEMA ina hakika gani sasa hivi mambo yatakuwa tofauti wakati wasimamizi na wapitishaji ni walewale

U[pinzani ukiweza kuchukuwa nchi kama ilivyotokea Zambia, Malawi, na kwinginepo, watakuwa na nafasi ya ku"influence" mwelekeo wa katiba wanayoitaka/wanayoipendelea, lakini kuitaka katibu sasa ni kama kumkabidhi fisi akulindie mbuzio wako.
 
Tanzania hakuna tume ya uchaguzi ile ni branch ya CCM kusimamia ushindi kwa CCM...
IMG_20201028_173703.jpg
 
Upinzani gani unaouzungumzia hapa? Vyama vilivyokufa vifufukie kwenye ushindi wa uchaguzi ?! Hiyo ni ndoto ya mchana.
Upinzani uliokufa viongozi wake wanafuatwa hata wakiwa wanajadili mambo ya msiba wao na mapolisi wenye bunduki???
Upinzani uliokufa kura zilipigwa siku mbili kabla hapo 2021
Upinzani uliokufa ulisema kuna COVID 19 watu wachanjwe ukapuuzwa sasa watu wanatakiwa kuchanjwa?
Msikilize raisi wako kesho Afu uje useme upinzani umekufa.
Unaogopa upinzani kuliko ukimwi Afu unajitia kidole na kunusa mwenyewe??
 
mavyama ya upinzani yote yako ICU, upinzaniuchwara
Good for you!!Si useme tu vyama vya upinzani vimesha kufa ,ili moyo wako ufurahi zaidi.Maana kuwa ICU ni kwamba anaweza kupona na kuwa na nguvu zaidi.
 
Good for you!!Si useme tu vyama vya upinzani vimesha kufa ,ili moyo wako ufurahi zaidi.Maana kuwa ICU ni kwamba anaweza kupona na kuwa na nguvu zaidi.
Wapinzani mliji compromize kwakujali tumbo...Kama manenge vile na mandawa...Sasa acha mjinyonge kwa kamba zenu wenyewe....Watanzania wamewasoma na kuwaelewa....Mtavitapika mlivyolishwa kwa tamaa za madaraka...I pity you!
 
Ahahahahaahahahaha! Kwa hoja nyepesi kama hizi zenu, be sure CCM is there 2025 and beyond. Ni hadi pale mtakapoacha kufikiri kama watoto wa kambo!
Hakuna mtanzania mwenye akili zake timamu ata bank kwa watu kama hawa ambao they can be ready for anything bila kujali maslahi mapana ya nchi...Bahati mbaya sana the goal post is set by Hayati.....Mungu anaipenda sana hii nchi, maana Baba wa Taifa kizazi cha sasa hakimfahamu sasa tuna a renewed version ya JKN THROUGH JPM; a typical spirit ya baba wa Taifa iliyofufuka kupitia yeye...Kazi ipo na acha iendelee!

Here I am watching from a far mtananange wa wazalendo na wachumia tumbo!
 
mfate bc chato,achen uzwazwa mbeleko yenu ni ujinga wa wananchi wasiojua haki zao na unafki wa wale waliosoma bila kuelimika

Nipo tayari huko huwa na futa vumbi kaburi lake kama ahsante kwakutuletea standard za uzalendo kwenye karne hii na kizazi hiki
 
UPINZANI NI MTU MMOJA? NADHANI hapo umemaanisha CHADEMA, Kama huna maana hiyo, kwa Nini vyama vingine kama TLP, UDP n.k. unaviondoa? Kuhusu upinzani kuchakaa, WEKENI MIZANI sawa ili ibainike kweli umechakaa. Kama CCM UNABEBWA na TISS na Polisi kupitisha mabegi ya kura bandia, then UTASEMAJE unayeshindana naye amechakaa? Nadhani anayetumia TISS na Polisi ndiye aliyechakaa.
Mtu si chama au vyama, mmiliki wa chama yupo yaani mwenye chama chake. Ujui
 
Back
Top Bottom