Huenda viongozi CHADEMA wanaponzwa na vitabu wanavyosoma

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Watafiti na wanazuoni huamini kwamba makuzi, vitabu unavyosoma au marafiki huchangia kwa kiasi kikubwa mafanikio au kuanguka kwako.

Nimekuwa nikifanya utafiti sababu za anguko la Chadema nikafuatilia vitabu wanavyotumia kupata maarifa, hii ni sehemu ambayo wanatakiwa waifanyie kazi.

Ni ushauri tu, wahenga tunasema "sikio la kufa halisikii dawa".

FB_IMG_15763284340814451.jpeg

FB_IMG_15763284278566522.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Watafiti na wanazuoni huamini kwamba makuzi, vitabu unavyosoma au marafiki huchangia kwa kiasi kikubwa mafanikio au kuanguka kwako.

Nimekuwa nikifanya utafiti sababu za anguko la Chadema nikafuatilia vitabu wanavyotumia kupata maarifa, hii ni sehemu ambayo wanatakiwa waifanyie kazi.

Ni ushauri tu, wahenga tunasema "sikio la kufa halisikii dawa".

View attachment 1292245

View attachment 1292247

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika wewe ni vuvuzela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kiongozi wako anasoma?
Ndugu zangu,

Watafiti na wanazuoni huamini kwamba makuzi, vitabu unavyosoma au marafiki huchangia kwa kiasi kikubwa mafanikio au kuanguka kwako.

Nimekuwa nikifanya utafiti sababu za anguko la Chadema nikafuatilia vitabu wanavyotumia kupata maarifa, hii ni sehemu ambayo wanatakiwa waifanyie kazi.

Ni ushauri tu, wahenga tunasema "sikio la kufa halisikii dawa".

View attachment 1292245

View attachment 1292247

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwa kama vile unaangalia sinema wanavyooambana na moto kisha na we ukiona moto unataka upambane kama kwenye sinema. Ndivyo walivyo viongozi wa chadema ndio maana saa nyingine wanatoa maneno ya kwenye vitabu katika harakati za kisiasa kisha wanaishia korokoroni au kufunguliwa kesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuachane na haya mambo yasiokua ya msingi, tujadili mambo ya msingi kitaifa.

Hivi yule mzungu wa bombadier aliezuia ndege South Africa na Canada. Mmemlipa kiasi gani??? Na hela imetoka kwenye mfuko gani??? Na mtampa kiasi gani ili asiongee kwenye Social Media???

NB Tanzania ni nchi inayoongoza kwa umbea. Bora mseme wenyewe kabla chai ya moto haijatengwa mezani na kamati kuu ya umbea.
 
Ndugu zangu,

Watafiti na wanazuoni huamini kwamba makuzi, vitabu unavyosoma au marafiki huchangia kwa kiasi kikubwa mafanikio au kuanguka kwako.

Nimekuwa nikifanya utafiti sababu za anguko la Chadema nikafuatilia vitabu wanavyotumia kupata maarifa, hii ni sehemu ambayo wanatakiwa waifanyie kazi.

Ni ushauri tu, wahenga tunasema "sikio la kufa halisikii dawa".

View attachment 1292245

View attachment 1292247

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa lazima aliwahi kukugonga ni wivu tu wa kimapenzi unakusumbua
 
Tuachane na haya mambo yasiokua ya msingi, tujadili mambo ya msingi kitaifa.

Hivi yule mzungu wa bombadier aliezuia ndege South Africa na Canada. Mmemlipa kiasi gani??? Na hela imetoka kwenye mfuko gani??? Na mtampa kiasi gani ili asiongee kwenye Social Media???

NB Tanzania ni nchi inayoongoza kwa umbea. Bora mseme wenyewe kabla chai ya moto haijatengwa na kamati kuu ya umbea.
Amelipwa kutoka Kasma ya ofisi ya raisi ikulu
 
Ajabu kuona ccm kinda kinda wakinitaka nisisome vitabu kisa viongozi wa chadema wanasoma kwa kuogopa kutuvuruga ndio maana kwa kipindi chenu wajinga ni wengi inakuwa rahisi kuwatawala sana
 
Back
Top Bottom