Huenda umakini huu ukifanyika na Tanzania, basi Tanzania ya Magufuli itafanikiwa Kiuwajibikaji katika Sekta mbalimbali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
A South African Airways pilot has been asked to step down after his fake license was exposed.
The senior pilot has reportedly been operating with a forged permit for 20 years.

Na katika muendelezo wa taarifa hii ni kwamba muda mfupi tu umepita ( dakika chache ) Serikali ya Afrika Kusini imesema kuanzia Jumatatu itaanza ' Ukaguzi ' mkubwa na ' Kabambe ' wa Kugagua Vyeti vya Marubani ( Pilots ) wa Ndege zake.

Nimejiwazia tu kwamba huenda pia na Marubani walioleta Mwili wa ' Shujaa ' Wetu leo labda nao Vyeti vyao ni vya ' Umagumashi ' ila pengine wametumia tu uzoefu Wao Kurusha ' Pipa ' kutoka Gauteng / Jorzy Afrika Kusini hadi Kiwalani Ukonga nchini Tanzania.

Chanzo Taarifa: Mtandao wa South African News

Nawasilisha.
 
Afadhali rubani bila leseni wa Afrika ya Kusini amefikisha maiti salama lakini madaktari bingwa wa darasa LA 7 wa Muhimbili hawakusema waliponya wagonjwa wangapi.
 
Back
Top Bottom