Huenda Tanzania ya sasa chini ya Rais Magufuli ikawa imepata Waziri bora wa Elimu Ndalichako tokea Uhuru wake

Yaani A level uifundishe hivyo Utube!!! Ulipita Advance?
Hapo anafundisha o level chemistry. 8 -4 -4 education system Kenya. Anafundisha vizuri tu kuliko baadhi ya walimu public schools. About Advanced level yes nilipita- i sailed through comfortably. Next question.
 
Ila kiukweli muda uliotolewa ni mdogo sana,, mitihani inatakiwa maandalizi ya kutosha.. Kuna wanafunzi wanasoma mbali na mazingira ya kwao.. So inabid watumie mda kusafiri hadi shule.. Sasa kabla hata ya kuzoea tena mazingira ya Shule mara paaap pepa hilo..
Poleni sana form 6 mkapambane tu

Shule zilipofungwa walikuwa wamebakisha mwezi mmoja tu kufanya mtihani wao ..maana mtihani wao was supposed kuanza May 4..Kwahyo huu muda waliopewa wa mwezi mmoja fidia kabisa ..tena walikuwa na miezi mengine ya ziada wasitafute kisingizio kabisa !
 
Yaani watanzania hawajui kipindi cha mpito asee, afu mwezi mmoja na siku mbona unatosha? Hapa waliosoma level hiyo ya elimu ndio wanajua kuwa inawezekana
Kwenye ile taarifa nakumbuka waliambiwa kidato cha sita watumie muda huo kujiandaa...,halafu mitihani wameambiwa watafanya juni 30,mwezi mmoja na masiku mbele....Sasa sijui wewe ulitaka mambo yaweje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu awe na hawa wadogo zetu, nlivosikia muda wa kuanza mtihani nlichoka sana, nlivoiona ratiba ya masomo wallah nlitoa machozi. sitakaa niusahau mziki wa PCM. Wizara ya Elimu Na NECTA hawajawa fair kwakweli ktk hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom