Huenda Rais Magufuli akawa ameumaliza rasmi ule ubishi wa Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM

Wanafunzi wa SAUT ni very competent kuliko wanafunzi wa UDSM

✓UDSM imeharibiwa na siasa waalimu Bora wameenda kwenye siasa bila kuandaa waalimu Bora wa kurithi

✓SAUT iko very strategic to the moment naibu waziri wa elimu alitamka mwenyewe alipofanya ziara pale SAUT nilimtazama kupitia runinga akitamka mwenyewe kwa mdomo wake kwamba SAUT kwa taaluma kwa Sasa iko Bora Sana Tanzania

✓Nenda school of law tazama idadi ya mawakili wanaomaliza wengi wao wamesoma chuo kipi,bila uongo wengi wanatoka SAUT

✓SAUT ina fundisha multi-skills na co-relating subjects kwa kozi anazosoma mwanafunzi kitu kinachomfanya mwanafunzi kua competent

UDSM kwa Sasa sio ile ya zamani CCM na siasa vimeimaliza UDSM
UDSM ilikua enzi hizo tulia ackson na Prof kabudi wanafundisha
Kilichobaki kwa Sasa Ni biashara ya ngono tu
 
Kiongozi nadhani hapa utakuwa umemaliza kila Kitu na huo ndiyo ukweli wenyewe juu ya Ubora wa Chuo Kikuu cha SAUT kwa sasa hapa nchini Tanzania. Hata Mimi sasa napambana nimalize Kidato cha Nne na cha Sita ili nami nikasome hapo SAUT ili nije kuwa Mhitimu niliyepikwa kwa Maarifa mengi na Ujuzi mwingi Kichwani ( Ubongoni )
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom