Sasa wasingesoma wakati huo wanasubiri huu mkumbo wa vyuo vya kata?Sawa je una maoni gani kuhusu Waheshimiwa na Wasomi Wanazuoni Waandamizi kutoka hapo UDSM akina Kabudi na Mpango kila mara Kuambiwa au Kutukanwa Wapumbavu katika Simu na Mheshimiwa Rais JPM kama alivyosema Yeye mwenyewe?