"Huenda Mwandishi Daud Mwangosi alitumwa awalipue Polisi kwa bomu (Kujitoa mhanga)"

...Uongo wao huu uliokithiri waambiane wenyewe waliomo ndani ya magamba na Serikali dhalimu ya wauaji. Watanzania wengine uongo wao tumeshaustukia siku nyingi sana.
@BAK, acha wauseme hadharani ili tuujue ujinga wao
 
Si kweli, bomu la machozi haliripuki bali linatoa moshi, ni kweli linaweza kuumiza lakini haliwezi kuripua mtu vipande vipande, mlipuko wa kuweza kusambaza mwili namna hiyo ni wa bomu lenye shrapnel ambalo wote hapo wasingepona.

akili yako haina tofauti na wanao uwa alibino kwa nia ya kupata utajiri nakushangaa sana .....sijui labda haujui moto huohuo unakupikia chakula lakini unachoma nyumba...sasa inategemea unautumia kivipi hivyo hivyo neno bomu tu ni noma .
hebu angalia police wa nchi nyingine hapo jirani kenya huwa yana rushwa juu halafu linatuwa wakati limesha powa halielekezwi kwa watu hata siku moja
 
rudi post ya 69 ukapate elimu kidogo.
 
Huyu dogo analeta mzaha kwenye mambo serious, hivi ni uchungu gani wanaoupata wanafamilia wa marehemu hasa mjane na watoto waliachwa katika mazaingira magumu kama hayo kwa kusababishwa na wapumbavu polisi? halafu huyu bwana mdogo analeta pumba zake hapa, nadhanni kuna haja ya kushika mitutu sasa, hii hali ingelitokea nchi za kiarabu sijui kama pangekalika, na ndiyo ingelikuwa movement ya kuiondoa serilkali.
 
Class of 2007 · L.L.B. · Bachelor of Laws · Staying Focused
A graduate of LL.B(horns),University of Dar es salaam.

llb horns
 
Huyu atakuwa shoga, haiwezekani mwanaume timilifu akaongea upumbavu kama huu.

CCM kweli ni wachawi, wauwaji, wezi na wanyang'anyi - kuanzia wakubwa wao mpaka watoto wao wanaowazaa!!!

Duuh, kwa iyo chakulaaaaa, msogezeni MAMBASA apigishwe mswaki Kibogoyo cha chini ya mgongo
 
Hili ni pumba juu ya pumba.inaelekea hata bom lenyewe halifahamu sijui ni kutapatapa kwa mfa maji.bom la kujitoa muhanga mahali kama pale nani angepona?.polisi wale wote walio mzingira wangekuwa mahayati pamoja na rpc wao.sanasana wangehurumiwa na bom kwa kukatwa miguu,mikono,kuachwa wakiwa vipofu hiyo ndiyo huruma ya bom.
 
Hii nimeiona imepostiwa na mwana CCM Mjumbe wa NEC mwenye dream za kuja kuwa kiongozi wa Nchi hii.

MWANDISHI ALIPEWA BOMU AKALIPUE??

(1)-MWANDISHI MWENZIE ASEMA marehemu alikuwa anasoma kitabu cha maadili ya waandishi kabla ya tukio jambo ambalo si kawaida,

(2)-Alionekana kuwa na wasiwasi na mgogoro wa nafsi kabla ya kwenda katika tukio.

(3)-Bila kujali vurugu wala bila hofu alikuwa anaelekea mahali polisi walipokusanyika.

(4)-Alipovamia kundi la polisi kabla hajafanya chochote polisi wakamuwahi wakawa wanamzuai.

(5)-Akawa analazimisha kwenda alipo mkuu wa kituo wa polisi OCS.
... (6)-Wakati polisi wanakabiliana nae akaangukia tumbo.

(7)-Mlipuko mkubwa ukasikika na kufumua utumbo na kujeruhi polisi kadhaa akiwemo mkuu wao.

(8)-Huenda alikuwa na bomu aliloficha ndani ya shati.

(9)-Hakudhamiria kujiua, huenda alitumwa kulidondosha katikati ya polisi.Lakini kwa bahati mbaya akadondoka,bomu likamlipukia kabla hajalitoa.

HUENDA ALITUMIWA, AKAWALIPUE POLIS

369213_100000876702057_873153215_n.jpg

Ally Salum Hapi

MKT WA CCM (UDSM),MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM

University of Dar es Salaam
Class of 2007 · L.L.B. · Bachelor of Laws · Staying Focused
A graduate of LL.B(horns),University of Dar es salaam.

My Take:
Huyu na yeye anajiita ni Msomi.

huyu dogo ni mjinga sana 2008 kwenye maandamano ya vyuo vikuu vyote kuhusu ufisadi wa kina Kinakalamagi pale jangwani alikuwa akiongea pumba sana kuhusu serikali ya Kikwete leo naona anaitetea serikali ileile watu kama hawa niwanafiki wa kutupwa wala hafai kuitwa msomi nimpuuzi fulani tu.
 
Huyu jamaa anadhani watanzania wa sasa ni kama wa mwaka 47, mawazo mepesi kama yake hayana nafasi kwa kizazi cha sasa, hizo ni njama walizoamua kuzitumia ili kuupindisha ukweli but huyu anayetumika kulifanikisha hili hajui kama anacheza na hatari kubwa sana ambayo muda si mrefu itamcost.
 
Jamani mazingira yote yanaonyesha wazi kuwa huyu mwandishi ameuwawa na Polisi, na mashaidi wanasema hivyo. Kwa hiyo si busara kujaribu kujenga hoja za kitunga na kufikirika, maana ni hatari sana. Kama wewe ni mtaalam wa kuchunguza matukio ya namna hiyo omba uunganishwe kwenye tume ya uchunguzi na siyo kuleta hadithi za kubuni katika hali kama hii. Mungu iponye Tanzania kwa hali hii itaisha.
 
Hii nimeiona imepostiwa na mwana CCM Mjumbe wa NEC mwenye dream za kuja kuwa kiongozi wa Nchi hii.

MWANDISHI ALIPEWA BOMU AKALIPUE??

(1)-MWANDISHI MWENZIE ASEMA marehemu alikuwa anasoma kitabu cha maadili ya waandishi kabla ya tukio jambo ambalo si kawaida,

(2)-Alionekana kuwa na wasiwasi na mgogoro wa nafsi kabla ya kwenda katika tukio.

(3)-Bila kujali vurugu wala bila hofu alikuwa anaelekea mahali polisi walipokusanyika.

(4)-Alipovamia kundi la polisi kabla hajafanya chochote polisi wakamuwahi wakawa wanamzuai.

(5)-Akawa analazimisha kwenda alipo mkuu wa kituo wa polisi OCS.
... (6)-Wakati polisi wanakabiliana nae akaangukia tumbo.

(7)-Mlipuko mkubwa ukasikika na kufumua utumbo na kujeruhi polisi kadhaa akiwemo mkuu wao.

(8)-Huenda alikuwa na bomu aliloficha ndani ya shati.

(9)-Hakudhamiria kujiua, huenda alitumwa kulidondosha katikati ya polisi.Lakini kwa bahati mbaya akadondoka,bomu likamlipukia kabla hajalitoa.

HUENDA ALITUMIWA, AKAWALIPUE POLIS

369213_100000876702057_873153215_n.jpg

Ally Salum Hapi

MKT WA CCM (UDSM),MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM

University of Dar es Salaam
Class of 2007 · L.L.B. · Bachelor of Laws · Staying Focused
A graduate of LL.B(horns),University of Dar es salaam.

My Take:
Huyu na yeye anajiita ni Msomi.

Huyu dogo kweli tatizo aisee sijui alitokea wapi but he has a big dream anayotaka kuifikia kwa njia za mkato.. Kwa waliosoma Udsm btwn 2006- 2010 watakuwa wanamkumbuka mshkaji alikuwa anaForce kujulikana iwe kwenye kunji au mkusanyiko wowote wa wanafunzi au Vipima joto vya ITV.. Kunji la 2008 alijifanya kuwa yuko front line na yeye ila sidhani kama yeye alikuwa miongoni mwa waliofukuzwa.. Nadhani hata ile muvi ya Dadi Igogo kumtoa nishai Mgaya kuwa alimwita ofisini kumtisha kumfukuza chuo mbele umati wa wanafunzi na Mkandara pale Nkrumah alitaka awe yeye azoe mashabiki maana aliiiongelea sana from time to time.. Kwa kumuangalia toka kitambo dogo ana background ya shida na inferiority complex anayoCompensate kwa kujifanya mwanaharakati na msomi...
 
Mods, kwa maswala yanayotia uchungu kama hili la kuuliwa kwa mwandishi, na maneno yanayosemwa na viongozi wa CCM, inabidi mturuhusu tuwe tunaporomosha mijitusi ya haja ili tupunguze stress

Naunga mkono mkono hoja na watu ambao wanafungia akili kwenye kabati ndio watakuja na wimbo kama huo anaejiita msomi !
 
Hii nimeiona imepostiwa na mwana CCM Mjumbe wa NEC mwenye dream za kuja kuwa kiongozi wa Nchi hii. MWANDISHI ALIPEWA BOMU AKALIPUE?? (1)-MWANDISHI MWENZIE ASEMA marehemu alikuwa anasoma kitabu cha maadili ya waandishi kabla ya tukio jambo ambalo si kawaida,(2)-Alionekana kuwa na wasiwasi na mgogoro wa nafsi kabla ya kwenda katika tukio.(3)-Bila kujali vurugu wala bila hofu alikuwa anaelekea mahali polisi walipokusanyika.(4)-Alipovamia kundi la polisi kabla hajafanya chochote polisi wakamuwahi wakawa wanamzuai.(5)-Akawa analazimisha kwenda alipo mkuu wa kituo wa polisi OCS.... (6)-Wakati polisi wanakabiliana nae akaangukia tumbo.(7)-Mlipuko mkubwa ukasikika na kufumua utumbo na kujeruhi polisi kadhaa akiwemo mkuu wao.(8)-Huenda alikuwa na bomu aliloficha ndani ya shati.(9)-Hakudhamiria kujiua, huenda alitumwa kulidondosha katikati ya polisi.Lakini kwa bahati mbaya akadondoka,bomu likamlipukia kabla hajalitoa.HUENDA ALITUMIWA, AKAWALIPUE POLIS
369213_100000876702057_873153215_n.jpg
Ally Salum HapiMKT WA CCM (UDSM),MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM University of Dar es SalaamClass of 2007 · L.L.B. · Bachelor of Laws · Staying FocusedA graduate of LL.B(horns),University of Dar es salaam.My Take:Huyu na yeye anajiita ni Msomi.
Huyu yupo mtaani au mirembe? naona umetumwa nipigwe ban!
 
UYU ANAEDAI KAJILIPUA HALIONI HILI LIPOLISI LA KWANZA KUSHOTO LIMEELEKEZA MTUTU KWA MWANDISHI??
NA KUMDHALILISHA, JAMANI MWENYE KONTACT NA MWENYEKITI WA CCM UDSM MPUMBAFU ALOLETA HII MSG AMFORWADIE HII MSG PLZ
[/QUOTE

Yaani mtu mmoja ndio anang'an'ganiwa hivyo??? kweli walidhamiria kumuua Mwandishi wa watu.............NAWALAANI HAO POLISI WOTE HAPO ...............KAMA WALIVYOMWAGA DAMU YA DAUDI NA SIKU MOJA DAMU ZAO ZITAMWAGIKA ...............NAWALAANI KWA MACHOZI ............NA MUNGU AYAONE MACHOZI YANGU .... AMENI!!!
:A S cry:
:A S cry: :A S cry:
:A S cry::A S cry:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom