comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Kutokana na mwenendo usioridhisha kiutendaji wa bodi ya utalii nchini pia kuingiliana kimajukumu ili kupunguza matumizi Mh huenda akaivunja bodi ya kutangaza utalii nchini inayojulikana kama TTB, bodi hiyo imekua ikitumia mabilioni ya shilingi ambazo wanapewa kama ruzuku kutoka shirika la Hiafdhi za Taifa Tanapa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, bodi hiyo pia imeshindwa kutangaza utalii wa ndani na kukimbilia nchi za nje,
Aidha kazi kama hiyo inafanywa na TANAPA, Ngorongoro na Idara ya utalii ndani ya Wizara ya Maliasili na utalii idara hizo tayari zina maafisa masoko na maendeleo ya utalii, maafisa wa TTB wameshindwa hata kujua vivutio vya utalii nchini wanasubiri taarifa ya idara ya utalii na Tanapa ndio wakatangaze wakati kazi hizo pia zinafanywa na idara hizo yaani Tanapa, ngorongoro na Idara ya Utalii nchini,
Aidha TTB imekua haina taarifa sahihi za utalii na vivutio nchini bali wanategemea idara ya utalii, Tanapa na Ngorongoro kitu ambacho Mh Rais Magufuli ameshakiona hilo mapema na tutegemee kuvunjwa kwa bodi hiyo isiyo na tija na yenye matumizi makubwa sana ya fedha za umma.