Huenda Liverpool ikakosa kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu kwa Mafuriko yanayoendelea huko Uingereza

Hahahaha walianza na vita ya Tatu ya dunia hukooo Iran...

Wakaja na mafua ya China...

Sasa ni mvua hizo kali....

Watasubiri sana ila ubingwa EPL hatuzuiliki nje ya uwanja na ndani ya uwanja...

Mkuu MASAMILA wewe jiadae Kwa shangwe kama zote it's coming home come May 2020...

For now sky is the limit...

YNWA

Mkuu najiandaa kula nyamapori tukichukua ubingwa hahahah
 
Mzuqa wanajamvi,

Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30.

Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa miundo mbinu.

Mkuu wa mamlaka wa hali ya hewa uingereza Sergey Shirima ametahadharisha kuna uwezekano mvua hizi zikaendelea hadi mwishoni wa mwezi wa tatu na kuleta maafa na uharibifu mkubwa wa miundo mbinu.

Tayari athari za mvua zimeshajitokeza na mkuu wa kitengo cha maafa uingereza kimetoa tahadhari kwa wananchi hali itakuwa mbaya zaidi uingereza kufunikwa na maji.

Liverpool ambayo jana walinyukwa goli mojana Atletico Madrid round ya kwanza ya Champions league wanaongoza EPL kwa point 23. Kutokana na kuwa na bahati mbaya historia inaweza ikajirudia na kuwafanya wasiwe mabingwa. Ni kuwaombea tuhizi mvua zinazoendelea uingereza zipungue.

Hueleweki kabisa, hebu soma hii...
Wenzio wameanza kuandika barua za kutia huruma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
m5mm5M

5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom