Huenda Kesho ni sikukuu ya Idd je, mitandaoni na mtaani patakuwa shwari kama sasa hivi?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Saivi mtaani wadada wanatembea na na nguo za shara na vitambaa vichwani, wengine "nikab" na mabaibui ili mradi wamejistiri.

Nina marafiki kadhaa mitandaoni, fb, IG, WhatsApp kwenye status/ stories wanatupia picha za stara wakati nawafahamu sana ni watu wa kutupia picha za nusu uchi tena wakicheza mauno ya aibu saana.

Leo nimepitia fb nimeona baadhi wameanza kubip na nijitaiti washahisi kesho wanarudia zama zao

Sasa najiuliza tu kesho kama ni Iddi kweli ndio jamaa zetu watafungulia kila idara, yaani dhambi zoote wanaanza uoya hadi Ramadhani ijayo ndio waanze toba tena??

Mtaani patabaki kama palivyo?
Gesti hazitafurika kesho?
Mitandaoni tutaendelea kuina baibui, nikab na kanzu??

Vimini na madera/ vijora havitatamalaki?

Bar hazita jaa??

Mwezi wa Ramadhani usiondoke na stara zake.

Alamsiki.
Assalam aleikum, wabarakatu
 
Saivi mtaani wadada wanatembea na na nguo za shara na vitambaa vichwani, wengine "nikab" na mabaibui ili mradi wamejistiri.

Nina marafiki kadhaa mitandaoni, fb, IG, WhatsApp kwenye status/ stories wanatupia picha za stara wakati nawafahamu sana ni watu wa kutupia picha za nusu uchi tena wakicheza mauno ya aibu saana...
IMG-20210512-WA0041.jpg
 
Radio sauti ya quraan ambayo ni ya bakwata wametangaza muda huu kuwa kesho wanatimiza siku ya 30,hivyo sikukuu ijumaa.
 
Back
Top Bottom