EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
- Thread starter
- #21
Haya bhana ila sio fea kabisaRadio sauti ya quraan ambayo ni ya bakwata wametangaza muda huu kuwa kesho wanatimiza siku ya 30,hivyo sikukuu ijumaa.
Haya bhana ila sio fea kabisaRadio sauti ya quraan ambayo ni ya bakwata wametangaza muda huu kuwa kesho wanatimiza siku ya 30,hivyo sikukuu ijumaa.
Has eaten to you mkuuAcha mashihara unajua nshasafiri bila ruhusa ya Mwajiri
Sio kwamba wanamngojea madam p arudi kweli?
Radio sauti ya quraan ambayo ni ya bakwata wametangaza muda huu kuwa kesho wanatimiza siku ya 30,hivyo sikukuu ijumaa.
nipo job nlipanda gari la magazetiHas eaten to you mkuu
Kwetu utaonekanaje kila kona ni mawingu mazito?!!!BAKWATA wahuni Mkuu, nchi nyingi duniani Eid ni kesho hata majirani zetu Kenya mwezi wameuona.
Iddy ijumaaView attachment 1782483
Kwetu utaonekanaje kila kona ni mawingu mazito?!!!
Ni swali kwa waliotaka mpaka wauone waoKwani ukionekana Nchi nyingine haitoshi kutangaza sikukuu hadi uonekane Tanzania!? 😳
kesho hata mvua inyeshe dunia nzima tutauona tuKwetu utaonekanaje kila kona ni mawingu mazito?!!!