Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,499
- 86,025
Kuliwahi kuwa na katuni zilichorwa na JM na zikaleta gumzo Sana. Katuni ni katuni tu hata Kipanya anachora katuni. Ile ambayo naikumbuka vyema ni ile ya kwanza nadhani.
MTU yuko ndani ya shimo, halafu anachoma ngazi moto!! Bila kujua kuwa ndio aliyoitumia kuingilia hapo shimoni (ikulu!!??). Kuifungia JF huenda ikaanza kuleta maana, kufungia biashara yaani kuua PPP ndio kumzuia kutoka shimoni. Kula rambi rambi na mengineyo....