Huduma za translations/kuandikiwa vitabu hapa

mkuu mnaweza kutafsir kwenye kada zote mfano.

siasa,udaktari,uchumi,uhandisi na habari

kama mpo vizur kwnye lugha zote tupeane taarifa
 
Natoa huduma bora ya Book Editing and manuscript preparation. Ili kufanya kitabu chako na machapisho mengine kuwa vyenye ubora.
 
Mie nafanya graphics but normal graphics. Je wewe ulikua unahitaji mtu akave eneo hilo katika vipengele vp? Cover designs? Text designs?
Nahitaji mtu creative ambae anaweza kudesign hasa covers za vitabu, kufanya page setting nzuri na mtu mwenye ideas nzuri za kibunifu katika eneo hilo.
 
Back
Top Bottom