Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 9,947
- 20,481
Jana ilikua siku mbaya sana kwangu
Nili msindikiza baba angu mzazi hospital ya mkoa sekou toure sasa rufaa (mwanza)
Niliyo shuhudia mbali ya kujionea kwa macho yamebaki akilin mwangu
Mbali na huduma mbovu niliyo ishuhudia katika kitengo cha WAZEE
NILIONA WAZEE WAWIL WALIO VALIA KEPU ZA CCM NA RAIS AKIWA MBELE YA ZILE KOFIA LAIT KAMA RAIS ANGETOKEA PALE NA KUONA NILIYO YAONA ASINGE SITA KUCHUKUA HATUA STAHIL HOSPITALIN HAPA
HOSPITAL HII ILIYO JIRAN NA SECONDARY ALIYO SOMA RAIS (LAKE SEC)
SIKUONA WAZEE WAKI HUDUMIWA KWA WAKAT LICHA YA KUFIKA MAPEMA AU WAHUDUMU
"WANADHARAU KWAKUA NI BURE"
ILI NI UMA SANA KUMWONA BABA ANGU MZAZI AKIUGULIA MAUMIVU MAKALI BILA MSAADA
WAKAT MWINGINE NI (UMASKINI) KWA HUDUMA KAMA ZILE KUNA UWEZEKANO WA KUNAPOTEZA MPENDWA WAKO NILI INGIWA JAZBA ...
MAJIBU YA OVYO YA WALE MANESI NILIYO YA SHUHUDIA NA NILIYO PEWA NA YULE NESI USIPO KUA NA SUBIRA UNAWEZA UKAJIKUTA UMEPIGA MTU UTADHANI WALI LAZIMISHWA KUA MANESI
NAJUA JF NI MAHALI MAKINI HILI LITAFIKA MAHALI HUSIKA WAZIR WA AFYA KAJI ONEE KITENGO CHA WAZEE SEKOU TOURE.