Huduma za intaneti katika Mji Mkuu Baghdad na sehemu kubwa ya nchi ya Iraq imekatwa kufuatia machafuko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
2,498
Points
2,000

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
2,498 2,000
Huduma za intaneti katika mji mkuu Baghdad na sehemu kubwa ya nchi ya Iraq imekatwa kufuatia machafuko ndani ya nchi hiyo yanayotokana na maandamano ya kuipinga Serikali

Taarifa zinasema kiwango cha kuunganishwa na intaneti kitaifa kimepungua na kufikia chini ya 19% ya viwango vya kawaida na kupeleka mamilioni ya watumiaji kushindwa kupata huduma hiyo

======================

Internet access in the capital Baghdad and much of Iraq has been cut off, internet blockage observatory NetBlocks said late on Monday as the country experiences a wave of anti-government protests.

“At the time of writing, national connectivity has fallen below 19% of normal levels sending tens of millions of users offline across Baghdad, also impacting Basra, Karbala and other population centers. The new disruption is believed to be the most severe observed in Iraq to date,” NetBlocks said in a statement.

Iraqi authorities have previously blocked off internet access in the face of protests.
 

Forum statistics

Threads 1,382,570
Members 526,405
Posts 33,831,636
Top