Huduma za Hospital ya IMEC - Iringa ikoje?

amkawewe

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
2,021
527
Naomba kufahamu ubora wa huduma za afya kwenye hospitali ya IMEC Iringa nimeambiwa ni ya Dr Lushino. Nataka kupeleka mama kwa huduma za kliniki na kujifungua.
Maana za serikali ni longo longo nyingi.
 
Ni kweli na imezoeleka hata ukipanda daladala kuna kituo wanaitwa kwa Lushino,ila nitofautiane na wewe kidogo huduma nzuri kwa mtoto chini ya miaka mitano na mama wajawazito ni heri hospitali ya rufaa (zamani ya mkoa).
 
Naomba kufahamu ubora wa huduma za afya kwenye hospitali ya IMEC Iringa nimeambiwa ni ya Dr Lushino. Nataka kupeleka mama kwa huduma za kliniki na kujifungua.
Maana za serikali ni longo longo nyingi.

Kwa huduma hizo pako safi sana, kwa Iringa hospital nyingine nzuri sana ni ile ya Wakatoliki ipo Ipogolo
 
nenda hospital ya mkoa,utahudumiwa vzr sana....huko imecc wapo kibiashara zaidi!(mi nimezaliwa/nimekulia ir)so nawajua in n out,ucpoteze muda wala hela zako
 
Asante sana wadau kwa inputs zenu, kuna jamaa kama wawili wameniambia ni wahuni huyo Lushino tu ndio mzuri ila hana wataalamu wengine.
 
Yeye Dr Lushino kama individual ni mzuri. Lakini ukweli ni kwamba hajaweza kupata madaktari wengine competent. Ila ukiweza kumwona yeye I can guarentee utapata huduma nzuri.
Kuhusu kuwepo kifedha nafkiri ndio maana nzima ya kufungua hio hospitali. Au?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom