Naomba kufahamu ubora wa huduma za afya kwenye hospitali ya IMEC Iringa nimeambiwa ni ya Dr Lushino. Nataka kupeleka mama kwa huduma za kliniki na kujifungua.
Maana za serikali ni longo longo nyingi.
Ni kweli na imezoeleka hata ukipanda daladala kuna kituo wanaitwa kwa Lushino,ila nitofautiane na wewe kidogo huduma nzuri kwa mtoto chini ya miaka mitano na mama wajawazito ni heri hospitali ya rufaa (zamani ya mkoa).
Naomba kufahamu ubora wa huduma za afya kwenye hospitali ya IMEC Iringa nimeambiwa ni ya Dr Lushino. Nataka kupeleka mama kwa huduma za kliniki na kujifungua.
Maana za serikali ni longo longo nyingi.
nenda hospital ya mkoa,utahudumiwa vzr sana....huko imecc wapo kibiashara zaidi!(mi nimezaliwa/nimekulia ir)so nawajua in n out,ucpoteze muda wala hela zako
Yeye Dr Lushino kama individual ni mzuri. Lakini ukweli ni kwamba hajaweza kupata madaktari wengine competent. Ila ukiweza kumwona yeye I can guarentee utapata huduma nzuri.
Kuhusu kuwepo kifedha nafkiri ndio maana nzima ya kufungua hio hospitali. Au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.