Huduma Ya Watoto Chini Ya Miaka Mitano Ni Bure Ama Inategemea Eneo Ulilopo


Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
14,284
Likes
5,321
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
14,284 5,321 280
Salam Wana Bodi
Serikali Imetutangazia Na Inaendelea Kututangazia Kuwa Huduma Ya Mtoto Chini Ya Miaka Mitano Ni Bure Ingawa Sehemu Kubwa Ya Watoto Hutozwa Pesa Hasa Wanapopewa Huduma Hizo Kwenye Baadhi Ya Zahanati,Vituo Vya Afya Na Hata Hospital Kubwa Za Rufaa

Kwenye Hii Thread Yangu Naomba Ufafanuzi Kwa Wataalam Wa Afya Wanaojua Ni Huduma Zipi Ambazo Ni Bure Kwa Watoto Wa Umri Chini Ya Miaka Mitano

Na Huduma Zipi Kwa Watoto Ambao Wana Umri Huo Huo Unatakiwa Usilipe Hasa Kwenye Zahanati,Vituo Vya Afya, Hospital Za Rufaa Hasa Za Serikali

Kuna Hoja Nyingi Na Malalamiko Hasa Utozwaji Pesa Ama Kwa Kujua Ama Kutojua Lolote Kipi Bure Kipi Pesa Ingawa Tumeambiwa Hakuna Bwana Bure Sasa Hivi
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
3,496
Likes
3,123
Points
280
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
3,496 3,123 280
Watawala wanatangaza tu kusherehesha genge
Hata Huduma bure kwa wazee nazo ni hivyo hivyo
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
14,284
Likes
5,321
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
14,284 5,321 280
Watawala wanatangaza tu kusherehesha genge
Hata Huduma bure kwa wazee nazo ni hivyo hivyo
Huu Ndiyo Ukweli Maana Hao Watoto Na Wazee Naamini Wanapoumwa Pesa Ndiyo Ufumbuzi Wa Kupata Tiba Ila Siyo Kauli Mbiu Ya Huduma Bure
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
3,496
Likes
3,123
Points
280
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
3,496 3,123 280
Uzi kama huu hata naibu waziri kaupuuza?
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
14,284
Likes
5,321
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
14,284 5,321 280
Sehemu Ya Tanzania Huduma Hizo Zipo Kwenye Maneno Ila Siyo Vitendo Kabisa Na Uzuri Ni Kuwa Wananchi Yaani Watoto Na Wazee Wanaostahiri Huduma Hizo Hawazipati Bure
 

Forum statistics

Threads 1,236,398
Members 475,125
Posts 29,256,698