Ubuntuwize
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 312
- 93
Wakuu asalaam
Ni tumaini langu kuwa mu wazima wa afya na mko katika Muendelezo wa majukumu kama kawaida. Nimekuwa na tafakuli nzito Muda mrefu kidogo na nimekua nikikosa wasaa wa ku wasilisha mawazo haya hapa jukwaani ila leo nimeona vyema ni wajuze.
Issue yenyewe iko hivi; Nimefanya kazi nyingi za kusanifu mifumo na kutoa ushauri juu ya kupambana na mafuriko(Flood control) katika scale kubwa kubwa za madaraja na barabara pia katika maeneo makubwa ya uendelezaji. Nimefikilia kufanya hivi katika scale ndogo pia ya residential Karibuni pia hata kwa ushauri wa awali.