Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

EVIGT

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
496
366
Huduma zetu!
KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI.
KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO.
KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA.
KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI.


0759600809
Gerezani
 
Habar Jf members,

Tunapenda kuwajulisha sasa tumeongeza huduma za ufundi bomba,wakazi wa Iringa na Mbeya sasa mnaweza kupata huduma zetu kwa kupitia kwa partners wetu waliopo mikoa hiyo kwa bei nafuu kabisa tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa inatulazimu kusafiri kutoka DSM kuja huko.
Huduma zitolewazo ni:

•KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO.
• KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA.
• KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI.
• KUFANYA SURVEY KWA WALE WENYE MALENGO YA KUCHIMBA VISIMA VIREFU VYA MAJI.

Contact
0759600809
 
plumber yeyote atakaye hitaji kazi ya part time, atume PM no yake na mahali anapoishi.
 
Sasa tunamashine mpya, unaweza kuchimbiwa kisima mpaka mita 130 kwa 8M tu,ndani ya siku saba unakabidhiwa kazi yako.

contact: 0789 291116 (kwa wale watakao taka video kuona jinsi tunavyofanya kazi wanaweza contact whasapp kwa namba hiyo hiyo)

IMG_20150216_142349_196.jpg IMG_20150216_143614_837.jpg
 
Inamaana nyie mnachimba mita 130 tu, Kuna sehemu nataka kuchimba kisima cha mita 50 Au 60
 
Sasa tunamashine mpya, unaweza kuchimbiwa kisima mpaka mita 130 kwa 8M tu,ndani ya siku saba unakabidhiwa kazi yako.

contact: 0789 291116 (kwa wale watakao taka video kuona jinsi tunavyofanya kazi wanaweza contact whasapp kwa namba hiyo hiyo)

View attachment 227382View attachment 227383

Katika eneo langu baada ya Survey inaonekana maji yatapatikana katika metre 85. Utanichimbia kwa bei gani urefu huo?
 
Sasa tunamashine mpya, unaweza kuchimbiwa kisima mpaka mita 130 kwa 8M tu,ndani ya siku saba unakabidhiwa kazi yako.

contact: 0789 291116 (kwa wale watakao taka video kuona jinsi tunavyofanya kazi wanaweza contact whasapp kwa namba hiyo hiyo)

View attachment 227382View attachment 227383
mkuu ungeliweka bei kulingana na urefu mkuu niko serious nitakutafuta je survey ya kucheki kama maji yako au hayako ni bei gani mkuu
 
tunachimba mita zote mwisho mita 150 kulingana na mashine zetu, mita 60 ni tshs 3600000(3.6m)

tafafhali naomba majibu kwa maswali yangu machache yafuatayo....

1-kwa hiyo unamaanisha munachimba mita 1 kwa tshs 60,000/=?...

2-vip kuhusu survey ya uwepo wa maji kwenye site munafanye wenyewe na kwa gharama zipi kama zipo nje ya hiyo elfu 60?

3-vipi kuhusu gharama za ku-mobilize nikimaanisha kupeleka ghari mitambo na wafanyakazi ni juu yenu pia na kama sio ni kiasi gani?

4-vipi kuhusu test za laboratory za maji muliyochimba munafanya nyinyi pia kama sio ni kiasi gani?

5-vipi kuhusu pump ya maji nayo ipo katika gharama zenu za uchimbaji? Kama sio nini uzoefu wako kwa pump ya kuweza kusukuma maji urefu wa mita 100?

Naomba kujulishwa juu ya hizo gharama-ukakasi ambazo hujitokeza kwa wachimba visima mulio wengi wenu. Hizo gharama-ukakasi hukwaza sana hasa kwa sie pangu pakavu tia mchuzi....nisingependa kuwaongelea wenye viroba vyao vya escrow maana wao huingia ndani na kujichotea tuu.

Naomba majibu juu ya hayo kabla sijafanya maamuzi magumu kwenye maisha yangu....kumbuka maji ni uhai.
 
Mkuu ikizidi 130m gharama zinakuwaje?
je kwa Dodoma bei ikoje?
Mashine zetu zinafika mwisho mita 150 kama kisima chako kinazidi mita hizo tunashauri utafute wachimbaji wengine.
Kwa swala la dodoma ni lazima uwe specific dodoma sehem gani? Kisha tuandae quatation
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom