Tunatoa huduma ya Uchapishaji

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,461
Habari Wadau

Onana nasi kwa huduma zifuatazo:

Kwa habari ya mahitaji yako ya KUCHAPISHIWA (PRINTING):

Calendar, Diaries, Tshirts, Mugs, Stickers, Posters, Books, Forms, Business cards, Wedding cards, Banners, Media marketing, vilevile tunadeal na Wedding planner kwenye sherehe mbalimbali.

Pia tunafanya huduma ya ushereheshaji katika sherehe mbalimbali kama Harusi, Sendoff, Kipaimara, Mahafali, Birthday parties, Kitchen parties, Bag parties, misiba na pongezi karibuni kwa huduma hii.

Pia tunatengeneza KEKI za Sherehe mbalimbali iwe graduation, kitchen party, sendoff , harusi, pongezi, birthday parties n.k. Usisite kuwasiliana nasi kwa PM tunapatikana Dar es Salaam

125954652_3426317504131431_1684804235835698050_n.jpg
 
Back
Top Bottom