And what has Lawson done to this program?Lawson
Shukrani boss. Kama kawa, inaiita wanakuwekea kawimbo then Call Ended.Piga
+255262160000
Huyu kashindwa kusimamia wa chini yake aondolewe tu.😆😆😆 Waziri ni Mwigulu
Hili la Lawson na sasa hili la salary slip, Mama anaweza kuyaona ni madogo, ila wabaya wake ndio wanapata mwanya wa kujenga hoja za kumlinganisha na mtangulizi wake.Nchi hii bhana,mfumo wa luku, tra, Lawson, salary slip yote imebuma hakuna maelezo ya kina
Wanapandisha madaraja na mishahara kimya kimyaHili la Lawson na sasa hili la salary slip, Mama anaweza kuyaona ni madogo, ila wabaya wake ndio wanapata mwanya wa kujenga hoja za kumlinganisha na mtangulizi wake.
Lawson mkataba ulikuwa umeisha ndo maana ulikuwa unasumbua sasa hivi haitumiki tena wana mfumo wa mpya unaitwa hcmis huu umetegenezwa na sie Tz wenye.Nchi hii bhana,mfumo wa luku, tra, Lawson, salary slip yote imebuma hakuna maelezo ya kina.
Lawson mkataba ulikuwa umeisha ndo maana ulikuwa unasumbua sasa hivi haitumiki tena wana mfumo wa mpya unaitwa hcmis huu umetegenezwa na sie Tz wenye.Hili la Lawson na sasa hili la salary slip, Mama anaweza kuyaona ni madogo, ila wabaya wake ndio wanapata mwanya wa kujenga hoja za kumlinganisha na mtangulizi wake.
Ni kweli safari hii baadhi ya watumishi wameongezewe mishahara huku wengine hawakuona mabadiliko yoyote lakini hii sio sababu ya kutotoa salary slip kwani wanakwamisha mambo ya watu.Wanapandisha madaraja na mishahara kimya kimya
Salary Slip unaulizia Salary slipWizara ya fedha, tunaomba maelezo nini kinaendelea kwenye hii system ya salary slip portal kwani haitoa salary slip za mwezi May mwaka huu wa 2021. Salary slip za miezi ya nyuma zinapatikana...