princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,553
- 14,381
- Thread starter
- #21
ndo hivo sasaAAAH! USIKUBARI KURUHUSU UMASKINI
ndo hivo sasaAAAH! USIKUBARI KURUHUSU UMASKINI
AKILI NYINGIwakope M pawa sh 5000 itoe ununue vocha ya halotel
unajiunga bundle!hivi ukikopa unajiunga bundle au ndo unatumia hivo hivo
walikataa kunipaunajiunga bundle!
Wanakopa 300,500,1000 bassss...walikataa kunipa
mimi hawataki kunikopeshaWanakopa 300,500,1000 bassss...
unajiunga bundle tu kama kawaida nawapendaje ukikopa hata ukiweka ela haiwakati wanakusikilizia kama dakika 15 na wakikata wanakata nusu ya kiasi cha vocha ulichoweka...
Utakuwa hukopesheki taarifa za bodi ya mikopo zimefikiamimi hawataki kunikopesha
Utakuwa hukopesheki taarifa za bodi ya mikopo zimefikia
asanteeNenda ktk menu ya simu yako tafuta application ilioandikwa halotel, fungua huduma za halotel, hapo utakuta kila huduma unayotaka. Kuna kumuhamishia mtu mwengine, kuna tafadhali nipigie, kuna kukopa salio nk
Mh,mie mbona huwa najiunga,walikataa kunipa
Itakuwa wewe ni Mwanafunzi. Njoo Pm nikurushie hata hiyo buku jero..... Pole sana, boom mpaka mwezi wa 3 mwishoni. Kama siyo mwanafunzi pita mbali na mimi Mkuu.1500