Huduma ya 'nipige tafu' ipo Halotel?

Wanakopa 300,500,1000 bassss...
unajiunga bundle tu kama kawaida nawapendaje ukikopa hata ukiweka ela haiwakati wanakusikilizia kama dakika 15 na wakikata wanakata nusu ya kiasi cha vocha ulichoweka...
mimi hawataki kunikopesha
 
Nenda ktk menu ya simu yako tafuta application ilioandikwa halotel, fungua huduma za halotel, hapo utakuta kila huduma unayotaka. Kuna kumuhamishia mtu mwengine, kuna tafadhali nipigie, kuna kukopa salio nk
 
Back
Top Bottom