Huduma ya kwanza kwa MicrosoftGo laptop

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Nahitaji huduma ya kwanza laptop yangu imegoma ku display imewaka kwenyekeyboard inaonyesha lkn kioo hakionyeshi. Nifanyeje kabla ya kupeleka kwa fundi.
 
shikilia kitufe cha volume + ,na cha kuwashia vyote kwapamoja mpaka logo ionekane then check kama touch inafanya kazi baada ya kufuata maelekekzo fanya ku restart window
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom