Huduma ya internet Dunia nzima

m2poa_

Member
Aug 13, 2018
15
5
Wadau napenda kufahamu hivi makampuni ya nje kwa nini yasiuze internet hapa bongo?? nini kikwazo??

nakitaalamu limekaaje hili maana internet nibiashara kubwa kama ni possible kufanyika. natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Zipo internet za satelite hapa Tanzania toka makampuni hayo ya nje ila bei ni ghali na satelite internet speed ni ndogo na latency pia ni pasua kichwa.

2. Zipo broadband za fibre pia kama simbanet ila nazo pia ni bei ghali sana kwa mtu wa kawaida kutumia.

3. Zipo broadband za kizamani kama za TTCL bei ni nafuu zipo package nyingi za chini ya laki 1 sema nazo pia nahisi hazina quality kivile.

4. Kwenye mobile data tupo vizuri. Average speed ya 4g duniani ni around 40mbps ila hapa kwetu kuna watu wanapata above average speed. Kuna wengine wanafikisha hadi 50mbps na zaidi. Na vifurushi pia vipo bomba vya data Tanzania ni moja ya nchi yenye vifurushi vya bei rahisi zaidi kwenye mobile data.

Kwa mimi naona tuna lack broadband za majumbani internet za kuangalizia netflix na kufanya heavy tasks. Kenya wenzetu mitandao yao ina provide broadband sasa hivi. Safaricom wana 5mbps unlimited kwa ksh 2500. Hope na huku kwetu Vodacom wataanza soon.
 
Mkuu naomba nifafanulie kuhusu hiyo internet ya majumbani, haswa utofauti wake na hii tunayotumia ya simu.
 
Internet ya majumbani ama ofisini (broadband) mara nyingi inakuwa ni ya waya au wifi na mara nyingi inakuwa ni unlimited haupimiwi GB na vifurushi vyake vinatofautiana bei kwa speed mfano
1mbps tsh 30,000
2mbps tsh 50,000
5mbps tsh 100,000 etc

Inakuwa na ping nzuri hivyo inafaa sana kwenye kustream vitu online kama kuangalizia mpira, kucheza games za online etc

Mfano wake hapa TZ ni simbanet pitia huu uzi nilieka screenshot ya ping yake
Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala - JamiiForums

Internet ya kawaida ya simu au cellular yenyewe imetengenezwa kukupa internet on the go. Haina ping nzuri kama ya majumbani ila utaweza kutumia internet popote pale iwe daladala ama sokoni. Matumizi yake ni ya kupimiwa GB ni nadra sana kukuta vifurushi unlimited na ukivikuta masharti ni mengi. Mfano wake ndio hii mitandao yetu ya kina voda na tigo.

Ila ujio wa 5g na capacity yake ya kuhudumia watu wengi na ping ndogo ya 1ms utafanya hii internet ya simu pia kuweza kutumika majumbani.
 
ASANTE SANA Chief nimekupata sawa sawia!
 
1. Zipo internet za satelite hapa Tanzania toka makampuni hayo ya nje ila bei ni ghali na satelite internet speed ni ndogo na latency pia ni pasua kichwa.

2. Zipo broadband za fibre pia kama simbanet ila nazo pia ni bei ghali sana kwa mtu wa kawaida kutumia.

3. Zipo broadband za kizamani kama za TTCL bei ni nafuu zipo package nyingi za chini ya laki 1 sema nazo pia nahisi hazina quality kivile.

4. Kwenye mobile data tupo vizuri. Average speed ya 4g duniani ni around 40mbps ila hapa kwetu kuna watu wanapata above average speed. Kuna wengine wanafikisha hadi 50mbps na zaidi. Na vifurushi pia vipo bomba vya data Tanzania ni moja ya nchi yenye vifurushi vya bei rahisi zaidi kwenye mobile data.

Kwa mimi naona tuna lack broadband za majumbani internet za kuangalizia netflix na kufanya heavy tasks. Kenya wenzetu mitandao yao ina provide broadband sasa hivi. Safaricom wana 5mbps unlimited kwa ksh 2500. Hope na huku kwetu Vodacom wataanza soon.
Thank u
 
Mkuu pia naona kuna project ya kutandika cable ardhini inayoendelea kwenye maeneo mbalimbali, je ile ndio huduma ya kusambaza internet majumbani ama ni nini na nani mwenye ile project!?
 
Halotel wanasambaza cable ila ni za minara yao, kwa wenzetu nje ndio inakuwa ni ya majumbani.

Hapa pia zuku anayo mitaa ya wenye nacho kama masaki, o'bey na kinondoni.

Huwezi jua wewe huko mmiliki wake?
 
Hapana sifahamu, project niiona maeneo ya udsm, nikaja iona tena mbagala, nw nipo Mtwara bado naiona.
 
Halotel wanasambaza cable ila ni za minara yao, kwa wenzetu nje ndio inakuwa ni ya majumbani.

Hapa pia zuku anayo mitaa ya wenye nacho kama masaki, o'bey na kinondoni.

Huwezi jua wewe huko mmiliki wake?
Nikajua ni TTCL
 
Inawezekana mkuu. Maana nao wameshaingia kwenye broadband za majumbani ila bei zao si rafiki laki 2 mpaka 3

TTCL to inject Sh40 billion in ‘home’ internet rollout
Hivi haiwezekani TANESCO kwa kutumia nguzo zao za umeme kusambaza hii huduma.. itawaingizia hela sana ukizingatia wao tayari wana miundombinu.

Na ukizingatia fiber haina interference na umeme naona badala ya kutumia nyaya za ardhini wange invest kwenye hii..

Ila je inawezekana? Nisaidie chief.
 
Ndio inawezekana mkuu, marekani wanafanya hivyo na juzi juzi Google fiber yake ameomba kupitisha humo.

Ila kwa hapa kwetu sijawahi ona, nafikiri sheria mpya ni mpaka itungwe.

Ulaya wao wanatumia mifereji ya chini ya ardhi.

Cha muhimu hapa mkuu ni kutengenezwa miundombinu ambayo kila kampuni itaweza itumia. Mfano kama ni mifereji iwe ni ya wote na sio kila mtu achimbe wake itakuja kuwa balaa huko mbeleni.
 
Kama wakiweza waongee na TANESCO wazitumie nguzo zao.. kuna baadhi ya nchi za ulaya wanatumia nguzo za simu.
 
Internet ya majumbani ama ofisini (broadband) mara nyingi inakuwa ni ya waya au wifi na mara nyingi inakuwa ni unlimited haupimiwi GB na vifurushi vyake vinatofautiana bei kwa speed mfano
1mbps tsh 30,000
2mbps tsh 50,000
5mbps tsh 100,000 etc

Inakuwa na ping nzuri hivyo inafaa sana kwenye kustream vitu online kama kuangalizia mpira, kucheza games za online etc

Mfano wake hapa TZ ni simbanet pitia huu uzi nilieka screenshot ya ping yake
Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala - JamiiForums

Internet ya kawaida ya simu au cellular yenyewe imetengenezwa kukupa internet on the go. Haina ping nzuri kama ya majumbani ila utaweza kutumia internet popote pale iwe daladala ama sokoni. Matumizi yake ni ya kupimiwa GB ni nadra sana kukuta vifurushi unlimited na ukivikuta masharti ni mengi. Mfano wake ndio hii mitandao yetu ya kina voda na tigo.

Ila ujio wa 5g na capacity yake ya kuhudumia watu wengi na ping ndogo ya 1ms utafanya hii internet ya simu pia kuweza kutumika majumbani.
Umesomea no hatari
 
1. Zipo internet za satelite hapa Tanzania toka makampuni hayo ya nje ila bei ni ghali na satelite internet speed ni ndogo na latency pia ni pasua kichwa.

2. Zipo broadband za fibre pia kama simbanet ila nazo pia ni bei ghali sana kwa mtu wa kawaida kutumia.

3. Zipo broadband za kizamani kama za TTCL bei ni nafuu zipo package nyingi za chini ya laki 1 sema nazo pia nahisi hazina quality kivile.

4. Kwenye mobile data tupo vizuri. Average speed ya 4g duniani ni around 40mbps ila hapa kwetu kuna watu wanapata above average speed. Kuna wengine wanafikisha hadi 50mbps na zaidi. Na vifurushi pia vipo bomba vya data Tanzania ni moja ya nchi yenye vifurushi vya bei rahisi zaidi kwenye mobile data.

Kwa mimi naona tuna lack broadband za majumbani internet za kuangalizia netflix na kufanya heavy tasks. Kenya wenzetu mitandao yao ina provide broadband sasa hivi. Safaricom wana 5mbps unlimited kwa ksh 2500. Hope na huku kwetu Vodacom wataanza soon.
Asante kwa kuchangia. Ninachokukubali huwa huchagu sehemu ya ku reply. Endelea na moyo huohuo
 
Back
Top Bottom