Huduma ya Clearing & Forwarding

Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined
Jun 28, 2019
Messages
85
Points
125
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined Jun 28, 2019
85 125
Je unahitaji msaada wa huduma ya Cleaning and forwarding ( Kutolewa mzigo wako bandarini) kwa haraka na bei nafuu? Basi tutafute tukuhudumie kwa bei rahis.
Tunatoa Magari na Kontena
-----------------------------------------------------
Company Name: DN Holdings
Location : Nkurumah st, Dar es salaam
Text/Call : 0653953900
---------------------------------------------------
Kwa maswali juu ya Cleaning and forwarding pia kalibuni
2154006_20190904_111532.jpeg
2154007_20190904_111503.jpeg
2154008_20190904_111442.jpeg
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
32,646
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
32,646 2,000
BMW 320i kuitoa sh ngapi ikiwa mi nitalipa kodi zote kasoro clearing charges?
 
DR. MWAKABANJE

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Messages
1,969
Points
2,000
DR. MWAKABANJE

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2012
1,969 2,000
Mkuu kuna issue inanisumbua sana kichwani, kuna biashara naplani kufanya....kuingiza karatasi ( ream papers) muuzaji ananiambia gharama za mzigo pamoja na usafiri ni 7 point something, swali je hadi kulitoa bandarini pamoja na ushuru ama tozo zozote ni bei gani na ni vyema unisaidie kuanisha hizo tozo. Asante
 
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined
Jun 28, 2019
Messages
85
Points
125
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined Jun 28, 2019
85 125
BMW 320i kuitoa sh ngapi ikiwa mi nitalipa kodi zote kasoro clearing charges?
Hyo boss nitakufanyia 950k japo hujanipa details zake so nimepiga kwa hesabu za jumla tu, inaweza shuka au panda kidogo
 
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined
Jun 28, 2019
Messages
85
Points
125
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined Jun 28, 2019
85 125
Mkuu kuna issue inanisumbua sana kichwani, kuna biashara naplani kufanya....kuingiza karatasi ( ream papers) muuzaji ananiambia gharama za mzigo pamoja na usafiri ni 7 point something, swali je hadi kulitoa bandarini pamoja na ushuru ama tozo zozote ni bei gani na ni vyema unisaidie kuanisha hizo tozo. Asante
Kwanza ningependa kujua km unaingiza nchini zikiwa kwny container nzima (yaan container lote lina huo tu mzigo) au unaingiza km loose cargo ili nijue bei itakuaje.. Ningependea unitxt WhatsApp 0653953900 kwa ufafanuzi zaid
 
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined
Jun 28, 2019
Messages
85
Points
125
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined Jun 28, 2019
85 125
Mkuu kuna issue inanisumbua sana kichwani, kuna biashara naplani kufanya....kuingiza karatasi ( ream papers) muuzaji ananiambia gharama za mzigo pamoja na usafiri ni 7 point something, swali je hadi kulitoa bandarini pamoja na ushuru ama tozo zozote ni bei gani na ni vyema unisaidie kuanisha hizo tozo. Asante
Dr MWAKABANJE naona uko kimya juu ya swala lako au ushapata ufunguzi?
 
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined
Jun 28, 2019
Messages
85
Points
125
Clearing Agent

Clearing Agent

Member
Joined Jun 28, 2019
85 125
Je unahitaji msaada wa huduma ya Cleaning and forwarding ( Kutolewa mzigo wako bandarini) kwa haraka na bei nafuu? Basi tutafute tukuhudumie kwa bei rahis.
Tunatoa Magari na Kontena
-----------------------------------------------------
Company Name: DN Holdings
Location : Nkurumah st, Dar es salaam
Text/Call : 0653953900
---------------------------------------------------
Kwa maswali juu ya Cleaning and forwarding pia kalibuni
View attachment 1197740View attachment 1197741View attachment 1197742
Wanaohitaji msaada na maswali juu ya cleaning and forwarding tuulizane hapa au piga 0653953900 kwa msaada zaidi.
 
Forum statistics

Threads 1,342,752
Members 514,794
Posts 32,762,809
Top