Huduma nzuri na nafuu ya mtandao (internet) kwa nyumbani nchini Tanzania

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Wakuu heshima mbele
kama kichwa cha habari kinavyojieleza,bila shaka kuna wadau wanaotumia
mtandao majumbani humu jamvini. Ningependa kufaham ni shirika gani ama
huduma gani ni angalau ni nzuri na ni bei nzuri kwa mtu anayehitaji kuunganisha
mtandao na kutumia nyumbani.

Mtakuwa mmetusaidia wadau wengi sana

Natanguliza shukrani

Mdau Mwendapole
 
jaribu zantel ni cheap, ila sina uhakika na speed, mi natumia simu ya nokia kama modem speed yake ndogo sana sijui kwa modem zao wanazouza.
 
nami niongezzee kidogo.......MOJA natumia modem ya zantel.....nikiwa dar manzese naipata net vizuri sana...nikianza kutoka nje ya mji naambiwa no network coverage.......msaada hapo wandugu...nikipiga customer care najibiwa kuwa nisigee pembeni kidogo ya hapo nilipo.....nikienda kwenye banda la zantel ni NO CUSTOMER CARE AT ALL... mi nauliza maswala ya net wao wananambia TUTAKUTENGENEZEA NAMBA YA ZANTEL AMBAYO UNATUMIA KWA MTANDAO MWINGINE....YAANI SAME NUMBER.......! HELP WAKUL;U....!
MBILI kuna mtu kanambia unaweza tumia simu ukapata internet kwenye laptop(BLOOTOOTH&USB CABLE).......nikijaribu mwenyewe nashindwa WHAT SHOULD I DO?
N.B:
SAMSUNG SGH-780, WITH USB CABLE,ZAIN NUMBER
 
Back
Top Bottom