Huduma legelege(ACB) Benki ya Akiba tawi la kariakoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma legelege(ACB) Benki ya Akiba tawi la kariakoo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by WA MAMNDENII, Oct 2, 2010.

 1. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kwa siku tatu mfululizo nimekuwa nakwenda kupata huduma kwenye benki ya akiba kariakoo , nimeudhika na huduma ya mhudumu ambaye anakuwa teller number 4 anavyohudumia kwa muda mrefu mteja mmoja, leo nimeshuhudia mteja mmoja anadeposit hela yake kasimama zaidi ya robo saa anahudumiwa. mi mwenyewe juzi nimetumia dakika kumi kudeposit fedha kwa huyo mwanadada. anaweza kuhesabu fedha kwenye machine halafu tena anahesabu kwa mkono kisha tena mashine halafu anakagua moja baada ya nyigine yaani anakera na kuchefua. ni kweli umakini unahitajika kwenye maswala ya hela ila uendane na speed kwenye karne hii ya sayansi na teknolojia. nawashauri viongozi wa hilo tawi wajali muda wa wateja sio waturudishe zile enzi za benki ya posta kuweka fedha inakuchukua saa karibu tatu na ukitaka kutoa mshiko ndo utasahau muda uliokuja. kwa maana hiyo huyo mwanadada hafai kukaa kaunta apangiwe kazi nyingine mara moja.
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu,vipi ulijaribu kuwaambia wahusika pale benki?
   
 3. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bwana Malila, mbona unaleta mambo yaibu jamvini? unajua hapa kuna wenzetu wakisia hivo wanaona wabongo tumelala. Mimi kwa kweli sio meneja wa hilo tawi. Lakini nitakwambia kua mimi nimeexperice kitu kama hicho. Tatizo la Dar ni kua matajiri hawatoi hela kuanzisha biashara. Wanangoja mpaka mkenya kafanya kakitu kabiashara na wao ndio wanafungua macho. Wanakuta wenzao wameesha anza hiyo biashara. Customer service bongo inahitaji msaada wa kila mtu. yani wewe hujawahi kujiuliza, "Ikiwa sisi ndio wenye more tourism attaractions, yani tunawazidi kenya urembo wa mali asili, ok, mbona wao ndio wanapata hela nyingi kutoka kwenye tourism kulikoni Bongo. Mimi naona hawajafanya dawa yeyote ya biashara, ni customer care. Unadhani crdb wangepromoti hilo neno bure? Pole sana Mkuu.

  here the bottom line guys, we are about to launch WABUNIFU USA, from LA. SoCal. tutahitaji wabunifu kama nyinyi hapa. Tutabadilisha mambo kibiashara, wanasiasa good luck whoever is gonna our next president. at the moment, Please, do not let the girls get fired. Please tell the manager that JF would like to give a vitual customer service. We gonna donate our time thanks. I really need some hands on this. Umoja ni Nguvu.
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mziba hujanielewa,

  Kama huyo mdada wa hiyo benki akifanya uzembe na sisi hatujawaambia wahusika itasaidia nini? Ni lazima kuwaambia wahusika kuwa mtoa huduma wenu hatufai ili kama ni mzembe ajirekebishe au la afukuzwe.

  Kama tukilalamika huku jamvini na wahusika hawajui makosa yao na huku hawaji kusoma tutakuwa hatujatatua tatizo mkuu. Ujasiri ni kumwambia uso kwa uso meneja wa tawi,huku tutaishia kulalamika tu.

  Sina hakika kama nimeleta mambo ya aibu kama unavyotaka kuamini. Kama hujanielewa nisamehe mkuu. Lakini msimamo wangu ni huu,mtu aambiwe kosa lake pale pale ili ajifunze.
   
 5. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu sikukupata vizuri, Kishwahili nyama ya tembo ukimla humwishi. Khabari ndio zimekwisha fika kwa sababu Kwa Jamvi hili lengo lake ni kuondoa mambo hayo. Nadhani ndio maana wakuu wakatutandikia jamvi hili. Tutawaomba wakuu wa JF kutuma barua kule. ( Before I forget, I hope JF is incorporated, if not we will help you guys some tools so you stand tall in this age of technological.) Sheikh huyu binti anahitaji mafunzo. Sisi wote tutasaidiana tumfundishe. Inachotakiwa, Maneja amuazime laptop, JF can insure the laptop hatutaki uswaili. Halafu huyu binti atapata mazunzo kisha akawafundishe kazini. Kwa sababu tunakuja hivi karibuni inshaallah tutachangamsha biashara. Akafukuzwa kazi mimi simo wakuu. Kosa alilolifanya angetakiwa wampatie kazi nyingine au wamwambie you are fired. yani kuna mameneja hawana mchezo rafiki.
  Mkuu Malila acha nikufyatulie projects mpaka lyamba. Peleka barua tawini ya jinsi tulivoongea. Juu ya bahasha Andika jina la Manager na nyingine, to the Board of Director or Vice president marketing. Hakikisha anaepeka apate signature ya anayepoke tarehe na Jina. Akitoa jina la uongo ok just remember position and face. Hivi ni kwa sababu ile benki inawezekana ikakubali kumlipa mshahara waka anachukua training. Wiki moja, tosha kwenye office za JFs

  I know malila you can do this. Asante Mkuu,
   
Loading...