Huduma kwa Wadau wa Bima ya Afya bado ni tete.

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Huduma ya matibabu kwa wadau wa bima ya afya bado ni tete kutokana na wahusika kuonekana kama ombaomba katika matibabu wakati wanakatwa fedha nyingi kwenye mishahara yao kuchangia mfuko wa bima ya afya.Mfano wa vituo vya afya vilivyokidhiri kwa adha hiyo ni Kituo cha Afya Kigamboni na Kituo cha Afya Navy Kigamboni.Ni vema taasisi ya bima ya afya ifuatilie huduma kwa wadau wake katika vituo hivi kwani vinakera na kukatisha tamaa kwa kutowadhamini kwa kuwapa huduma stahili.Wenye mifano kwa maeneo mengine watueleze.
 
Back
Top Bottom