huduma hii inatolewa kwa ajili ya waume za watu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huduma hii inatolewa kwa ajili ya waume za watu.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mamaya, Jan 10, 2012.

 1. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  je umekuwa ukisumbuliwa na mumeo sana?je umechoka kumchunga mumeo? Mpeleke hapa.
   

  Attached Files:

 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nduu/mmaya... Kua na a predictable hubby is so boring....
  Ukimpeleka tu hapo ina maana wee mwanamke ndio dereva
  wa kila kitu ndani ya ndoa - It could be really tiresome.
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Cjaelewa huduma gani sasa?

  Mi nilijua labda Lap dance nikaja mbio mbio niulize wapi
   
 4. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Ni sehemu ya huduma zitolewazo nowdays ktk karne ya kizazi hiki
   
 5. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 424
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huduma gani hizo zitakazomfanya mume mzinzi atulie?
   
 6. driller

  driller JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  bandugu mi napita tu nitarudi baadae eeeh
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ​ndo dunia hii......................ahsante mkuu
   
Loading...