Huduma hii imeshafika Tanzania?

Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,685
3,549

INTERNET.​

Starlink is now delivering initial beta service both domestically and internationally, and will continue expansion to near global coverage of the populated world in 2021.

During beta, users can expect to see data speeds vary from 50Mb/s to 150Mb/s and latency from 20ms to 40ms in most locations over the next several months as we enhance the Starlink system. There will also be brief periods of no connectivity at all.

As we launch more satellites, install more ground stations and improve our networking software, data speed, latency and uptime will improve dramatically.

Inaonyesha tayari huduma ipo ndani ya USA na nje ya USA je Tanzania huduma hii imeshafika.
 
IMG_20210830_180532.jpg

Vile naisubiri huduma hii ifike
 
Hii ni nzuri ila kwa ofisi na mtu mwenye kipato maana unalipia $100 per month ili upate Unlimited internet sasa bora tukomae na Mega bando kwanza
 
INTERNET.​

Starlink is now delivering initial beta service both domestically and internationally, and will continue expansion to near global coverage of the populated world in 2021.

During beta, users can expect to see data speeds vary from 50Mb/s to 150Mb/s and latency from 20ms to 40ms in most locations over the next several months as we enhance the Starlink system. There will also be brief periods of no connectivity at all.

As we launch more satellites, install more ground stations and improve our networking software, data speed, latency and uptime will improve dramatically.

Inaonyesha tayari huduma ipo ndani ya USA na nje ya USA je Tanzania huduma hii imeshafika.
Itabidi ukawaone hawa jamaa huku.... 👇

Watakupa maujanja ya kuchonga dishi lako mwenyewe, halafu ualiazimuth na kulielevate kwa longitude ya 7.../6...5°E, ili kuifatilia Starlink satellite na kupata bando la bure kabisa.....
 
Daah na huku aje Sasa tujiachie Kama kawaida
Kutumia starlink ni Bora ununue fiber intranet kama upo eneo lenye miundombinu hiyo, spidi yake inazidiwa na 4g ya halotel halafu bado starlink bei yake ni kubwa.
starlink-tests.jpg

Hizo spidi na pings halotel inazifikia, hii hapa ni spid ambayo nimetest kwenye simu yangu.
IMG_20220517_165934.jpg

Starlink inaweza kufaa labda kama IPO bushi kama wamarekani wengi wanavyoitumia Ila sioni ubora wake ukilinganisha fiber internet
 
Watanzania wepesi wa kukimbilia vitu vipya regardless of perfomance
 
Back
Top Bottom