CV yake na ya Omog hazipishani sana,.ila uzuri hizo club alizofundisha zina msingi na miundo mbinu mizuri,karibu Hubert ,karibu SSCSimba hawajahi kuwa na kocha mbovu kwa miaka ya karibuni
Wasio na nidhamu Simba wako wengi, wakiwemo akina Hans and et al!Exactly Mkuu. Ila lingine ambalo ni muhimu ni kuhusu nidhamu kunako klabu Simba SC kwa wachezaji.
Nawafiki. Hapa tutarajie mojawapo ya mambo mawili: aondoke Hans Poppe na genge lake ili kocha afanye kazi yake, au kocha ajiondokee zake aliwache hilo genge liendelee na mambo yake.Simba hawajahi kuwa na kocha mbovu kwa miaka ya karibuni
Tunapa makocha wazuri sana. Lakini wachezaji wa Tanzania ni wagumu kupokea mafundisho sahihi.Kwa kuwa kocha ni mzungu utaona wachezaji wa simba watakavyobadilika fasta , kuna dharau flani iv kwa wachezaji wetu kocha anapokuwa mweusi km wao, ili tatizo naliona hta kwa timu ya taifa mayanga ana struggle coz ni mweusi mwenzao na kibaya zaidi ni mtanzania mwenzao! Hpo dharau ni maradufu
Hasa ukiangalia rekodi yake, hana tabia ya kukaa na timu muda mrefu. Mara nyingi amekuja na timu kwa mwaka mmoja tu. Sijui tatizo ni yeye, au ni hizo timu anazokutana nazo?Na huyo hana muda mrefu Simba atatimuliwa tu...
Mmh hapo sidhani kama Simba walijiridhisha vyema kwa maana nijuavyo atakuja na mfumo wake tofauti na huu, sasa hapo kwenye ubadilishaji mfumo timu ikiboronga tu kidogo huyo hana chakeHasa ukiangalia rekodi yake, hana tabia ya kukaa na timu muda mrefu. Mara nyingi amekuja na timu kwa mwaka mmoja tu. Sijui tatizo ni yeye, au ni hizo timu anazokutana nazo?
Ndo uonavyo wewe mkuu. Lakini tunaamini kocha mzuri apewe ushirikiano viongozi na wachezaji ndo shida iliyopo. Lakini si mfumo sa ijapokuwa kuna ugumu fulani kwa wachezaji wa Tanzania kupokeaMmh hapo sidhani kama Simba walijiridhisha vyema kwa maana nijuavyo atakuja na mfumo wake tofauti na huu, sasa hapo kwenye ubadilishaji mfumo timu ikiboronga tu kidogo huyo hana chake
Tusubiri ila historia ya makocha wageni wangapi wanaokuja hapo Simba na hawakai sana nadhani unaijuaNdo uonavyo wewe mkuu. Lakini tunaamini kocha mzuri apewe ushirikiano viongozi na wachezaji ndo shida iliyopo. Lakini si mfumo
Sioni ajabu mkuu kutimuliwa. Timu yenye kuweza kukaa na kocha muda mrefu ni Arsenal pekee duniani, angalia Zidane juzi katoka kuwapa mataji lakini tetesi zimeanza.Tusubiri ila historia ya makocha wageni wangapi wanaokuja hapo Simba na hawakai sana nadhani unaijua