kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,514
- 7,909
Ongezea huawei kabisa hapo mkuu..mana shughuli ishaisha hiiBlackBerry
Windows Phone
Nokia
Ongezea huawei kabisa hapo mkuu..mana shughuli ishaisha hiiBlackBerry
Windows Phone
Nokia
akili za wachina na wabongo ni fup ww utale5aje whatsapp ya kichina ina maana umekop kama mjaja tengeneza app yako tofaut jina na muonekano then ipromote kama ikivyo messenger insta na whatsappSasa hapa ndo utapata Insta ambayo imejaa wachina tuu Whatsapp ya kichina
Tatizo la mchina ni mtu ambaye alishajua mshindani wake ni USA kwahyo alishajipanga kukabiliana na hila zake.Ongezea huawei kabisa hapo mkuu..mana shughuli ishaisha hii
akili yako sio duniaTatizo la mchina ni mtu ambaye alishajua mshindani wake ni USA kwahyo alishajipanga kukabiliana na hila zake.
Usim understimate huyu mchizi ohoooo
Alafu kuna uwezekano mkubwa Huawei akifanikisha hiyo OS yake makampuni karibu yote ya simu ya kichina yakaachana na Google na kuhamia OS ya Huawei kama mambo yataenda sawa"Necessity is the mother of invention" ---- Wachina watatoboa tu, na USA itajilaumu sana.
Tatizo la mchina ni mtu ambaye alishajua mshindani wake ni USA kwahyo alishajipanga kukabiliana na hila zake.
Usim understimate huyu mchizi ohoooo