Huawei yaanza kutumia mfumo endeshi wake kwenye baadhi ya simu zake

Sasa hapa ndo utapata Insta ambayo imejaa wachina tuu Whatsapp ya kichina
akili za wachina na wabongo ni fup ww utale5aje whatsapp ya kichina ina maana umekop kama mjaja tengeneza app yako tofaut jina na muonekano then ipromote kama ikivyo messenger insta na whatsapp
 
Ongezea huawei kabisa hapo mkuu..mana shughuli ishaisha hii
Tatizo la mchina ni mtu ambaye alishajua mshindani wake ni USA kwahyo alishajipanga kukabiliana na hila zake.
Usim understimate huyu mchizi ohoooo
 
"Necessity is the mother of invention" ---- Wachina watatoboa tu, na USA itajilaumu sana.
Alafu kuna uwezekano mkubwa Huawei akifanikisha hiyo OS yake makampuni karibu yote ya simu ya kichina yakaachana na Google na kuhamia OS ya Huawei kama mambo yataenda sawa
Sasa hivi Xiomi, Vivo, Oppo na makampuni kaibao wanaifanyia majaribio HongMengOS ya Huawei

Tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom