Huawei yaanza kutumia mfumo endeshi wake kwenye baadhi ya simu zake

China China China tu.kwanini mnapigia debe China wakati kazi yao ni copy na paste na fakes. Au nyie ni wauza simu za kichina na mmeona Sasa hazitauzika ndiyo mnahangaika kupiga debe. Marekani ndiyo wavumbuzi wa internet na simu za mkononi wengine wote watajifunza kwake.jiulize kwanini China anatengeneza simu halafu anategemea OS ya marekani
Figisu za nini sasa kwa Huawei kama technology yote ni mali ya USA?. Yawezekana kuwa bado ni mshamba kwenye ugunduzi wa kiteknolojia.Hebu jaribu kufuatilia kila aina ya teknolojia na historia yake.Nahisi kuna kitu utajifunza.Mwisho wa yote,ngoja Huawei afanye yake,mimi na wewe tubaki kwenye upigaji zumari kwa pande zetu tuziaminizo.
 
Wanajifanya waguuumu kufa...Kifo kipo pale pale, Hata BlackBerry waijitahidi sana kuvuta pumzi dakika za mwisho ila wapi.. bado shemeji yenu Tecno
Tuwe watazamaji tu.Mwisho wa siku tutajua mshindi.Sio wakati wa kuja na matokeo
 
Suala hapa sio mvumbuzi nani, suala ni --who masters the technology and the technical know- how to suit people demands at affordable costs-- mchina hili anaweza na Amerika kashikwa na kiwewe na wivu kama demu.

Hasa, the shit hole president Trump.😁
Hapo kweli umeongea mkuu 🙏🙏🙏🙏
 
Kwahiyo the Masters of world mobile phones is China? Can you prove it. Kama ni great thinker usitumie matusi.tetea hoja kwa ushahidi
Wewe hujui kama iPhones zilishapigwa chini kitambo na Huawei na kupokwa nafasi yake ya pili huku akimfukuzia Samsung ili achukue nafasi ya kwanza kwa mauzo duniani?Uko wapi mkuu?
 
H
Hujanielewa hapa, nasema hivi Katika dunia ya leo yule atakayeweza kutumia ujuzi wake katika sayansi na teknology na akaifanya iwe rahisi watu kupata matunda ya tekknoloji yake huyo "atatoboa"-- na jambo hilo Mchina hana msindani duniani na Waamerika wameingia kiwewe juu ya hilo.

Ninaposema " The shit hole president Trump" -- President Trump yeye ndiye aliyeanza kutuita Wafrika "shit holes", sasa mimi nikimwita "shit hole presiden" kwa tusi lake mwenyewe wewe unakasirika nini??!!--- kadhia ya HAWAEI yeye si ndiye aliyeianzisha!!🤔
Hakika mkuu 🙏🙏
 
Watakaofaidika kwenye hii vita ya huawei na marekani ni afrika tutaletewa technology ambayo ilipaswa kuuzwa huko majuu.
 
Os sio shida, shida Anatoboaje na ile ban ya arm?mchina kashikwa pabaya sana,atatengeneza simu kwa architecture ipi?
"Necessity is the mother of invention" ---- Wachina watatoboa tu, na USA itajilaumu sana.
 
China kawa master wa tech lini? Kapigwa pin na arm ,sasa sjui atatengeneza simu gani..maana mnaona Os ni deal
Suala hapa sio mvumbuzi nani, suala ni --who masters the technology and the technical know- how to suit people demands at affordable costs-- mchina hili anaweza na Amerika kashikwa na kiwewe na wivu kama demu.

Hasa, the shit hole president Trump.
 
Back
Top Bottom