Huawei yaanza kutumia mfumo endeshi wake kwenye baadhi ya simu zake

Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,681
3,346
Katika kile kinachoonekana kujidhatiti, Huawei imeanza kutumia mfumo endeshi wake kwenye baadhi ya simu zake kama sehemu ya majaribio.

#Huawei has reportedly shipped out a batch of smartphones equipped with its self-developed "#HongMeng" operating system for testing. https://t.co/zwhQ1HTXf0
 
Attachments

  • Screenshot_20190613-060059.png
    Screenshot_20190613-060059.png
    76.8 KB · Views: 30
  • Thanks
Reactions: cmp
Katika kile kinachoonekana kujidhatiti, Huawei imeanza kutumia mfumo endeshi wake kwenye baadhi ya simu zake kama sehemu ya majaribio.

#Huawei has reportedly shipped out a batch of smartphones equipped with its self-developed "#HongMeng" operating system for testing. https://t.co/zwhQ1HTXf0

"Necessity is the mother of invention" ---- Wachina watatoboa tu, na USA itajilaumu sana.
 
Kweli eeeeeh mkuu?

Mchina wa sasa sio yule wa 1975, zama za Mao Tsetung (Mao zedong), China nadhani imekuwa ni nchi ya pili duniani kufanya tafiti za kisayansi na hii ni moja ya hatua kubwa katika maendeleo ya nchi yoyote-- jambo ambalo America halipendi kwa China.

Teknoloji na elimu zote leo zipo wazi usipozipata ulaya utazipata America au Russia, japani nk.
 
Nakuunga mkono mkuu.Changamoto ni kipimo cha akili
 
China China China tu.kwanini mnapigia debe China wakati kazi yao ni copy na paste na fakes. Au nyie ni wauza simu za kichina na mmeona Sasa hazitauzika ndiyo mnahangaika kupiga debe. Marekani ndiyo wavumbuzi wa internet na simu za mkononi wengine wote watajifunza kwake.jiulize kwanini China anatengeneza simu halafu anategemea OS ya marekani
 
Suala hapa sio mvumbuzi nani, suala ni --who masters the technology and the technical know- how to suit people demands at affordable costs-- mchina hili anaweza na Amerika kashikwa na kiwewe na wivu kama demu.

Hasa, the shit hole president Trump.😁
 
Suala hapa sio mvumbuzi nani, suala ni --who masters the technology and the technical know- how to suit people demands at affordable costs-- mchina hili anaweza na Amerika kashikwa na kiwewe na wivu kama demu.

Hasa, the shit hole president Trump.
Kwahiyo the Masters of world mobile phones is China? Can you prove it. Kama ni great thinker usitumie matusi.tetea hoja kwa ushahidi
 
Hujanielewa hapa, nasema hivi Katika dunia ya leo yule atakayeweza kutumia ujuzi wake katika sayansi na teknology na akaifanya iwe rahisi watu kupata matunda ya tekknoloji yake huyo "atatoboa"-- na jambo hilo Mchina hana msindani duniani na Waamerika wameingia kiwewe juu ya hilo.

Ninaposema " The shit hole president Trump" -- President Trump yeye ndiye aliyeanza kutuita Wafrika "shit holes", sasa mimi nikimwita "shit hole presiden" kwa tusi lake mwenyewe wewe unakasirika nini??!!--- kadhia ya HAWAEI yeye si ndiye aliyeianzisha!!🤔
 
Back
Top Bottom