ipo 60,000 cash hapa....Nauza Huawei y520 kwa bei poa ya Tsh90000 tu
Nipo Babati, manyara kwa mawasiliano 0672231377
Haina maslahi mkuuipo 60,000 cash hapa....
ok ngoja nijipange upya mpaka mwakani...nilikua na ndoto ya kumiliki smart phone mwaka huu nimegonga mwamba daah..Haina maslahi mkuu
Kila kitu kipo ata ikihitaji boxRisiti unayo au umeiokota