Huawei y300 for sale

ERIK

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
623
314
Habari ndugu zangu!! nauza simu yangu ya HUAWEI Y300 kwa laki 2 na 20 tu (220,000/=)

nimeitumia week tu haina tatizo lolote na ina kila kitu ni mpya haina hata mchubuni wowote

0713644485 number yangu
 
sasa ww umeisha itumia ndio unauza bei hiyo wakati dukani.mpya ni sh195000
 
Habari ndugu zangu!! nauza simu yangu ya HUAWEI Y300 kwa laki 2 na 20 tu (220,000/=)

nimeitumia week tu haina tatizo lolote na ina kila kitu ni mpya haina hata mchubuni wowote

0713644485 number yangu

Embu kuwa realistic kijana.
Tigo hizo simu mpya bei ya promo wanauza 199,000.
We umeitumia week mbili unauza laki 2 na 20.
Ningekuelewa kama ungesema 180,000 na kushuka.
Jipange.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom