number41
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,048
- 1,462
Microsoft na Blackberry Os zao walizifanyia monopolization. Na pia kwa kampuni ambazo ziliamua kutumia Microsoft kwenye simu zao basi walikuwa wanalipia. Sasa kwa mazingira kama hayo ulitegemea nini kiwapate? kama siyo kufa. Huawei hawezi rudia hayo makosa...
Hadi leo ios ni close source na awajawai toa leseni kwa kampuni yeyote na gharama cm zao lakin ni kampuni ya pili duniani kwa miaka 2 mfululizo
Ishu soko mkuu harmonyos hata akitoa bure na ofa ya soda kidg soko likitema basi ujue umeumia uzuri wengi wanachagua simu kwa ubora wa kamera sasa huawei waboreshe kamera na wauze kwa bei ya chips mayai watu watanunua lkn afanye mkataba na social media kubwa ili afanye vizur kama akuna watsapp sijui nn we ngoja tu utasikia mana wachina awana mana kabs