G-traveller
Member
- Jul 20, 2019
- 27
- 122
Sasa hii ina mantiki gani? Iphone mauzo yameshuka china na si nje ya china na yameshushwa na Huawei na huawei wanatumia android.Embu soma hii myb utanielewa kwa kivingineView attachment 1180349
Sasa hapa tunazungumzia OS yao kuifunika android siyo rahisi maana watumiaji wa android wanaitumia kwasababu ya wingi wa apps zake ambazo ni za kimarekani.
Ebu nitajie app moja maarufu ambayo watu wanaipenda saana kama ambayo siyo aya Marekani?
Hiyo Os ya huawei kampuni za kimarekani kama facebook ambayo imamiliki whatsapp, facebook na instagram na kampuni inayomiliki snapchat, kampuni kama google inayomiliki youtube na apps kibao zikiwekewa ban zisisupport hiyo OS bado huawei watashindwa kupenya nje ya china labda waitumie wachina tu huko.
Jiulize na huduma lukuki za wechat mbona wanaoitumia ni wachina tu hata watu weng huku hawaijui? We ushawahi tumia wechat?