Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

Kiyoya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,646
820
Nadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane.
Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya.
Thaman ya Yuan imeshushwa.
Rare mineral hakuna kuuza Us.
Hakuna kununua soya beans toka Us.
Taka toka Us zimepigwa marufuku kwa nchi nyingi Asia.
China wamejipanga kupambana na Us bilashaka.
 
Wataalam wetu mnafikiria nini ili mvumbue na kuacha mark zenu kitaifa na kimataifa? Kufa bila kuacha mark yako hasa ukiwa msomi ni bora usingesoma tu!
Binafsi sijasoma ila najipanga kuja ni bidhaa kabambe itokanayo na korosho,kaeni mkao wa kula 😋,hapa lzm niache mark yangu
Itendeeni haki elimu yenu.
Nalog off
 
Tuna nunua vingapi toka kwa mchina? Trump ana tapa tapa tu. Anachojaribu kukizuia hata kiweza. China itampita USA tu.
world-economy-gdp.jpg
 
pambania ndoto yako itimie tutakuunga mkono
 
China alishakua nayo ila soko la biashara liko kwa android mkuu hapo unazungumzia huawei tu ila bado china ina product nyingi za android matv na simu zinazofanya vizur kama xiaomi
Huawei wakishakuwa na OS ya kueleweka, wote hao watahama Android na kuhamia Huawei OS kwa sababu wanafahamu hata wao hawawezi kuwa safe dhidi ya US! Na usikute hiyo OS ina ruzuku kubwa toka serikalini ili kuhakikisha kampuni zingine za China zinaitumia
 
Katika vita hii China itamkalia pabaya tuu. Marekani ndio nchi yenye uchumi mkubwa Dunia na pia rare earth metals hata Marekani anazo sema China alikuwa anauza Kwa bei ndogo ndio maana Marekani ikaacha kuchimba na sahizi Mchina ana wakati mgumu kwasababu Hongkong pale maandamano Yanaendelea na Kwahiyo na Muingereza kamkalia pabaya suala China Kwa internal interference. akikosea treatment Kwa Hongkong ndio kwisha yake . Tianam square, Uighur Muslims na sahivi Hongkong
Nadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane.
Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya.
Thaman ya Yuan imeshushwa.
Rare mineral hakuna kuuza Us.
Hakuna kununua soya beans toka Us.
Taka toka Us zimepigwa marufuku kwa nchi nyingi Asia.
China wamejipanga kupambana na Us bilashaka.
 
Tuna nunua vingapi toka kwa mchina? Trump ana tapa tapa tu. Anachojaribu kukizuia hata kiweza. China itampita USA tu.
Program ambazo zinawika zote ni za Marekani. Hujui kama Huawei katikati huu mgogoro na Marekani imeshapata Hasara ya 30usb. Africa hawana uwezo wa kununua simu nzuri. Africa tunanua fake product za Mchina. Africa Sio ya kujitegemea Kwa Soko bado ni nchi maskini mno. Yaani bara lote la Africa uchumi wake unaachwa na uingereza tuu.
 
Hapa kuna diplomasia ya uchumi. Kuna leo na kesho na wakati Trump ndio anashabikia sera hiyo akiondoka sidhani kama mambo yataendelea hivyo hata hivyo kuna kamba nasikia amelegeza. Kule China wao lao moja na wana nguvu za kupambana na Trump au USA hivyo in the long run sioni watamzuia vipi mchina kuwa na uchumi mkubwa kushinda ule wa marekani.
 
Usicheze na waChina a.k.a Vimacho vidogo, Google wameanza kujuta huko, Inaonyeshea Plan B ya hawa vimacho itafanikiwa kwa kiasi kikubwa ndani ya mda mfupi tu, waafrica na Asia watatumia tu bidhaa ya vimacho hamna namna coz ni rahisi sana, Ulaya wote sasaivi wanatumia 5G ya mchina, Marekani anaanza kubwabwaja na kulalamikia nchi za ulaya kuwa zinamsaliti, Yaani mpaka UK anasema hawawezi kuhairisha mfumo wa 5G wa huawei coz taari mkataba umeshafanyika
Screenshot_20190809_123321_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20190809_105745_com.opera.browser.jpeg
 
Back
Top Bottom