Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,728
Na D Day inasheherekewa wapi Mkuu?Mshikaji huenda historia ilimpita kushoto hajiulizi kwa nini V day huwa ina sherekewa pale Moscow,Russia hawa warusi walijitoa sana na walikufa sana hata rais wa france amekiri jana kwamba baadhi scholar wa europe wana jaribu kufuta historia