Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,689
- 39,757
Hizi fix na propaganda tu, Huawei hawajasema yote haya mpaka wadakwe? Na sidhani hata kama wame admit kuna uwezekano unawatetea tu.nimesoma na sijapinga, labda baadhi ya watu walikuwa hawajui ila harmony os kuwa based na android toka mwaka 2019 ilikuwa inajulikana ni android based ila wao wameiboresha zaidi kwenye IOT pile lite os ilitengenezwa mahusui kwa ajili ya micro devices na vitu vingine upande wa iot hivyo ban ya usa ndo iliwafanya huawei kutaka kuifanya kuwa os moja kwa moja kilichosumbua ni archtecture yake ndo ilikuwa shida. ikiwalizimu kurudi aosp kufanya fork pia wakakombaini na os yao ya lite
Operating system sio kitu ambacho kinatengenezwa miezi ama mwaka, ni kitu kinachukua miaka, angalia Google Fuchsia ipo developed sijui mwaka wa ngapi huu. Wao ghafla ghafla tu wamelipua tayari wana os, badala ya kusema ukweli wanataka sifa na kuongea uongo.