LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,097
- 10,998
kipindi cha hivi karibuni taifa la China limekuwa ni tishio kwa mataifa ya ulaya na Amerika pia, maendeleo ya china liteknolojia yamekuwa ni tishio kwa mataifa ya mangaribi
Mmarekani sasa ameanza kuhaha na bidhaa za mchina, na bidhaa kuu iliyoanza kuwekewa vikwazo ni simu za Huawei, lakini china simu za Iphone zinauzwa bila shida yoyote
Inasemekana simu za huawei zimeanza kuwekewa vikwazo baada ya soko lake kufanya vizuri barani ulaya na marekani pia, hivyo wazungu ili kulinda makampuni yao wameamua kuja na mbinu hii kuwa vifaa vya kielektroniki vya china vinahatarisha usalama wa mataifa yao
Ikumbukwe miezi michache iliyopita china iliweza kufikisha chombo cha CHANGE 4, kwenye sehemu ya mbali mwezini kitu ambacho kiliishangaza dunia na hadi sasa kuna mataifa makubwa yamefeli kupeleka vyombo mwezini vingine vilikaribia vikaishia kuharibika
je kwa kasi hii ya CHINA anaweza kuja kuwa super power?