Ndugu zangu nimekapenda haka ka simu kuna mwenye uzoefu nako ili nijue kama kananifaa nipate kukanunua halafu vilevile kwa hapa tz ni tigo tu! wanaouza au naweza pata ambayo sio network locked ili nipate kutumia line tofauti according to signal strength.