https://www.standardmedia.co.ke/business/article/2001304164/debt-load-sees-treasury-turn-to-regional-bank-for-rescue

Kukopa harusi kulipa ni matanga, muda wa kulipa madeni umefika na dawa ya deni ni kulipa.

hivi tanzagiza inayajua maneno haya??

IMG_20181127_122149_480.JPG

IMG_20181127_122216_626.JPG


IMG_20181127_122244_825.JPG


IMG_20181127_122343_151.JPG


IMG_20181127_122317_108.JPG
 
Kusamehewa ndio wana ringa hahahahahahahaha LDC!!!!!!!! nilifikiria tractor alisema pesa ipo?????? kumbe hakuna hahahahahahaha
 
World Bank bad debts starts to hurt banks in Tanzania

MONDAY NOVEMBER 12 2018


crdb.jpg

hahahahahahahahahaha deni hamuwezi no wonder muliomba zi fungwe!!!! Tractor alidanganya pesa iko... kumbe hakuna... iliishia 777 na korosho
TractorFire.jpg
 
Hahahaha, ninyi ni masikini hadi mnatia aibu, mnalazimisha kufutiwa madeni hadi mnaandamana na kutunga slogans.
1)Dept is poverty
2)Dept is slavery
Kenya: Groups call for debt cancellation | Pambazuka News
Kumbe mnajua nini ni slaves of poverty because of debts?
Hahaha, unaleta habari ya dili iliyofanyika 2006 ! Wakati Kenya ilikua Low income Country! Tuliingia Lower Middle income 2014 ... Hakuna kusamehewa madeni tena ukishsingia middle income..... (Tena ukiañgalia Hilo deni la $46m tulilosamehewa na Italy ilikua ni debt conversion, walitusamehe ili tuongee Kwa meza kuhusu eviction, hawakutusamehe kwasababu ya uwezo wetu wa kiunchumi... Unlike Tz mnasamehewa kwasababu mnachukua mda mrefu au kushindwa kulipwa..)


Wakati Tz bado iko ndani ya LDC, Yani maskini hohehahe, ukimkopesha usitarajie kulipwa...
 
Back
Top Bottom