http://www.tcu.go.tz/... MBONA HAIFUNGUKI TANGU LAST WEEK!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

http://www.tcu.go.tz/... MBONA HAIFUNGUKI TANGU LAST WEEK!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kottler Masoko, Apr 3, 2012.

 1. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau hiyo web ya TCU kimeo nini, tangu waseme udahili unaanza April 1st na web yao CHALIII!!!
  Niaje hawa jombaaa,mbona kama hawapo serious????
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Toka lini watanzania tukawa serious na mambo ya msingi?
   
 3. kalaghesye

  kalaghesye Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Siku ya ufunguzi jamaa walidai kuwa huo ndio mfumo-mtandao (web application) ya kwanza ya aina yake East and Central Africa. We acha tu Bwana!
   
 4. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Kwenye computer mbona inafunguka kama kawaida.
   
 5. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hebu copy hiyo link hapa basi mdau, maana bado inasumbua tu, nimejaribu kugoogle, inaleta link zote but hazifunguki kabisa, na nimejaribu pia kupiga simu zao na hawapokei.
  hii nchi jamani cjui aje nani atukomboe ki-Fikra!!!
   
 6. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kweli, nakubali mkuu. Hapa kwetu bado kabisa japo kua tuna 50 years ya uhuru.
   
 7. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  ni kweli kabisa,ila wameshaachia toka jana,ukifungua inakubali na wameweka news za kuanza kuapply.Jaribu hata sasa hv inakubali.
   
Loading...