HRM ni Beki 5 anayefunga goli lake, na wengine wapo- Siasa za TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HRM ni Beki 5 anayefunga goli lake, na wengine wapo- Siasa za TZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malunde-Malundi, Mar 26, 2011.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wajumbe, nimetafakari kufananisha wachezaji wa mpira namba tano ambaye kazi yake kulinda, ni pale ambapo bila kujua hugeuka na kuanza kushambulia goli lake inakuwaje, nimepata watu wachache ktk hili, wa kwanza anayejifunga kwa sasa yupo Hamad Rashid, bila kujua anaishambulia chadema na sasa anaona kama ndio chama dawala bila kujua anajizika na kuizika CUF na hii inaweza kuthibitishwa na mambo ya Tanga juzi ambapo alipoanza mambo hayo watu wakaanza kuhoji mbona chadema sio chama tawala cha nini wakagaili wengine wakaondoka maana walikosa mbadala wa ccm. Pia wapo wanasiasa wengi huwa wanashindwa kuelewa wako upande gani matokeo hujifunga golini kwao na kupoteza uanamichezo wao. Wapo ambao wanajifunga wengine kama vile JK, Makamba, Tambwe, UVCCM nk. Pia wapo ambao huwa hawajifungi ila husaidia timu pinzani nao ni Zitto, RA,Lowassa etc. Nimejaribu kunyambulisha walau kwa uchache ila siasa bila kujijua unakuwa bua na kufuata upepo
   
 2. markach

  markach Senior Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  No coments
   
Loading...